Vipi umemuonaje?Ngoja nimtizame. Nitaleta ushuhuda.
Nilitizama kipindi kimoja, nimeona ana uzuri fulani, nahitaji kumuona zaidi na zaidi.Vipi umemuonaje?
Dogo ni fundi sana.Nilitizama kipindi kimoja, nimeona ana uzuri fulani, nahitaji kumuona zaidi na zaidi.
Vipi mkuu umemuonaje dogo leo?Nilitizama kipindi kimoja, nimeona ana uzuri fulani, nahitaji kumuona zaidi na zaidi.
Madrid hakuna kaziBonge moja la fundi, dogo anajua halafu anajua tenaa
Ni mchezaji mzuri, akiongeza juhudi na kulinda kiwango chake atakuja kuwa moja ya viungo bora kwa kizazi chake.Vipi mkuu umemuonaje dogo leo?