March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

67 constituencies' results yet to be tallied:
Central 5,
Coast 1,
Rift Valley 26,
Western 9,
... Nyanza 6,
Nairobi 1
Eastern 17,
North Eastern 2

Hizo zinatosha kumpaisha Uhuru mpaka Kilimani...maana hizo lazima zilete diff ya kama 100,000+ votes in his favor
 
67 constituencies' results yet to be tallied:
Central 5, - Uhuru
Coast 1, - Raila
Rift Valley 26, - Uhuru
Western 9, - Raila
... Nyanza 6, - Raila
Nairobi 1 _ For both
Eastern 17, - Raila
North Eastern 2 - Raila


Hapo sasa!!!! Ni half, half kutegemea idadi ya wapiga kura!!!!

Tiba
 
hebu fafanueni hii hesabu ya 50% + 1 vote

hivi one vote inaweza kubadili hiyo 50%??

naamini wengi tuu humu hawajaielewa hii hesabu.

hebu tufafanuleini mnaoielewa

Nimeona hii kutoka kwenye Roberts Rule of Order.., huenda hii hesabu ikawa sawa na hii

 
hebu fafanueni hii hesabu ya 50% + 1 vote

hivi one vote inaweza kubadili hiyo 50%??

naamini wengi tuu humu hawajaielewa hii hesabu.

hebu tufafanuleini mnaoielewa

Zikiwa zote zilizopigwa ni 11,200,000 nusu yake ni 5,600,000 kwa hivyo atakayefikisha 5,600,000 atakuwa amepata 50% akiongeza kura moja tu iwe 5,600,001 atakuwa ameibuka mshindi, akiikosa uchaguzi utarudiwa.
 
hebu fafanueni hii hesabu ya 50% + 1 vote

hivi one vote inaweza kubadili hiyo 50%??

naamini wengi tuu humu hawajaielewa hii hesabu.

hebu tufafanuleini mnaoielewa

Chukulia kura zipo 10,000, ili ushinde inabidi uvuke wastani.

Kwa hiyo Uhuru akipata kura 5,001 which is 50.01% anakuwa president wa Kenya hivyo tutayarishe barabara hapa Dar itakayoitwa jina lake. Lol
 
[h=5]67 constituencies' results yet to be tallied:
Central 5,
Coast 1,
Rift Valley 26,
Western 9,
... Nyanza 6,
Nairobi 1
Eastern 17,
North Eastern 2[/h]


Haya haya haya hayaaa wale wa Uhuru tuanze kufungua Whisky na kuanza kutafuna Gomba kwa furaha...

Forza KENYATTA wa Kenya...
Siempre Kenyatta...
 
Thank you RealMan, thank you Dhuks

Sasa nimeelewa. Na siyo mimi tu bali na wengine wengi tu humu waliokuwa hawajaelewa lakini wanashindwa tu kuuliza!
 
Last edited by a moderator:
wekeni basi update kuwa ni
Uhuru 4867683
Raila ni 4335488
Tofauti ni 532195
 
wekeni percentages pia maana wengine vilaza wa hesabu..si unajua tena zero za kawambwa...
 
Zikiwa zote zilizopigwa ni
11,200,000 nusu yake ni 5,600,000 kwa hivyo atakayefikisha 5,600,000
atakuwa amepata 50% akiongeza kura moja tu iwe 5,600,001 atakuwa
ameibuka mshindi, akiikosa uchaguzi utarudiwa.



Mpaka sasa kura zilizobaki kuhesabiwa ni wastani usiopungua 1.65mil.
Now Uhuru ana kura 4,849,194 amebakiza wastani wa kura 751,800 kufikia 50% + 1 vote.
Kwa hiyo out of 1.65 Uhuru anahitaji JUST 0.752mil.
Pasipo shaka Uhuru anaupata Urais...
 
Zikiwa zote zilizopigwa ni 11,200,000 nusu yake ni 5,600,000 kwa hivyo atakayefikisha 5,600,000 atakuwa amepata 50% akiongeza kura moja tu iwe 5,600,001 atakuwa ameibuka mshindi, akiikosa uchaguzi utarudiwa.

Kura rejected je? Hizi nazo zinahesabiwa kama kura zilizopigwa?
 
kafanya nini huyo mùuaji...

kaka,wape heshima yao wakenya 4,867,683 waliompigia kura uhuru mpaka sasa!by the way umeshahukumu kabla ya mahakama!heshimu pia mahakama husika tafadhali!naamini wewe ni mstaarabu kiasi cha kutosha kukubali kuwa umechemsha kwa kauli yako hii!
 
Kura rejected je? Hizi nazo zinahesabiwa kama kura zilizopigwa?

Lazima kujumlishwa pia ingawa zinaweza kuleta upotovu fulani maana baadhi yake ni za gavana,seneta na zingine zilizowekwa kwa kijisanduku cha mgombea wa urais. Kwa hivyo kama waliojitokeza ni idadi kubwa kama 98 au 99 % zinaweza kufanya idadi ya kura zilizopigwa kupita 100%.
 
Hapa Uhuru Kwa mahesabu haya atajiliwaza kashinda. Lakini mwisho wa siku Nchi atachukua Odinga au Uchaguzi utarudiwa. hii inakua upside down. subirini mda si mrefu mtaona. KENYATA ANALOGY NA ODINGA DIGITAL. ndo maana mnastushwa na hesabu za uhuru.
Uhuru hatakua rais wa kenya. Odinga kashamaliza mchezo na anasubiliwa kuapishwa. mnaangalia wingi wa kura!..ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. subirini muone maajabu. mia
 
Mkuu imani yako sio ya kuhamisha milima tu bali mito na maziwa na bahari kabisa, kwa nini mwenye nyingi tusimwone kama mshindi badala yake unataka kutuaminisha kwamba mwenye chache ndo atashinda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…