Lonestriker
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 640
- 241
Counties or province are just political names,in the ground strongholds remain the same.Nothing has changed in terms of demographics that influences voting pattern.kuna counties si province kule kenya
Yes rejected ,lakini si imepigwa?
If rejected it means its not a vote for that particular election (say presidential election), it remains to be a ballot and therefore not counted.
Mkuu imani yako sio ya kuhamisha milima tu bali mito na maziwa na bahari kabisa, kwa nini mwenye nyingi tusimwone kama mshindi badala yake unataka kutuaminisha kwamba mwenye chache ndo atashinda?
Mkuu imani yako sio ya kuhamisha milima tu bali mito na maziwa na bahari kabisa, kwa nini mwenye nyingi tusimwone kama mshindi badala yake unataka kutuaminisha kwamba mwenye chache ndo atashinda?
bado naendelea kuwa tomaso toka mwanzo nimeamua kuwa upande wa odinga ... mie ntasurrender kwenye lile jimbo namba 291...
Hapa Uhuru Kwa mahesabu haya atajiliwaza kashinda. Lakini mwisho wa siku Nchi atachukua Odinga au Uchaguzi utarudiwa. hii inakua upside down. subirini mda si mrefu mtaona. KENYATA ANALOGY NA ODINGA DIGITAL. ndo maana mnastushwa na hesabu za uhuru.
Uhuru hatakua rais wa kenya. Odinga kashamaliza mchezo na anasubiliwa kuapishwa. mnaangalia wingi wa kura!..ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. subirini muone maajabu. mia
Tatizo hawa jamaa wanainclude na rejected votes na ili Uhuru ashinde anatakiwa amaintain gap la kura zaidi ya laki 6, na hapo tunaassume kwamba zile za wagombea wengine sita na rejected haziongezeki kwa kasi sana la sivyo wanaenda raundi ya pili.Wa-Kenya mtatoana roho safari hii!
Mpaka sasa hivi UhuRuto wako 5,004,424 na RAO wako kama 4,442,000 hivi ila mpaka sasa hivi hakuna aliyefikia hiyo 50% + 1 vote. Kazi ipo!!
Hivi katiba inasemaje? ni Aslimia 50%+1vote ya kura zilizopigwa au ni 50%+1 vote ya Valid votes?Yes rejected ,lakini si imepigwa?
Kama katiba imesema hivyo hawana jinsi hapo ya kukwepa round ya piliTatizo hawa jamaa wanainclude na rejected votes na ili Uhuru ashinde anatakiwa amaintain gap la kura zaidi ya laki 6, na hapo tunaassume kwamba zile za wagombea wengine sita na rejected haziongezeki kwa kasi sana la sivyo wanaenda raundi ya pili.
Kenya wahuni, wanatoa matokeo stategically ili kuendelea ku buy and to hold international attention, ili to the D-day Kenya iwe kinywani na kichwani mwa kila mtu hata 'Mapanya'.
Huu ni aina ya utalii au promotion fulani hivi kuitangaza nchi kupitia uchaguzi ili iwe among the talked in the world.
Time 14:52 (EAT)
Uhuru - 5,004,406
Raila - 4,442,923
Ngoma bado nzito, Uhuru yuko kwenye 49.7%
Tiba