March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Voting not yet started at Kilgoris County hall, BVR kits yet to be delivered #KenyaDecides
 
Queue at Galore

 

Attachments

  • galore-queue.jpg
    35.8 KB · Views: 673
International observers on scene
 

Attachments

  • intl-observers.jpg
    42.6 KB · Views: 674
Citizen TV News:

99,000 police officers, 7,000 senior officers have been deployed to different regions of the country to ensure peaceful electoral process
 


This' how the queues look like

:frusty:
 

Attachments

  • queue-uchaguzi.jpg
    79.3 KB · Views: 660
Kakamega: Wanananchi wamejitokeza kwa wingi

Mkuu Kenyan,

Mimi ni Mtanzania lakini kwa sasa nipo hapa Nairobi kama observer wa uchaguzi huu. Nimepitia vituo kadhaa na sasa ninapoandika nipo Gigiri kwenye kituo cha kupigia kura cha chuo cha walimu. Kusema ukweli watu wamejitokeza kwa wingi sana na kuna msururu mrefu kupita kiasi.

Nawatakia uchguzi mwema!!!!!

Tiba
 
Long queues, jovial voters in Kiserian-Kajiado county

 

Attachments

  • kajiado.jpg
    47.1 KB · Views: 635
Hii leo wakenya wanapiga kura katika uchaguzi wa kihistoria chini ya katiba mpya. Foleni tayari zimeanza kushuhudiwa katika vituo.

Taarifa zinazohusiana


Kinyang'anyiro ni kikali kati ya Muungano wa Cord na Jubilee wa Raila Odinga na Uhuru Kenyatta.
Kwenye ukurasa huu tutakupasha matukio kila yanapojiri hadi upigaji kura utakapokamilika mwendo wa saa kumi na moja jioni.
Unaweza kututumia maoni yako kuhusu uchaguzi unavyokenda kwenye ukursa awetu wa Bofya facebook

08:30 SMUgera anasema kwamba kupiga kura kunachukua takriban dakika 12 minutes. #bbcnewsday
08:25 Hassan Majid pia mwandishi wa BBC anasema kuwa polisi wamepata mwili mmoja wa mtu aliyeuawa na mwingine kujeruhiwa kwa kukatwa panga katika eneo la Moshomoroni

08:24 Mwandishi wa BBC mjini Mombasa, Karen Allen anasema kuwa polisi wamepata maiti za polisi wanne ambao wameuawa katika eneo la eneo la Changamwe , Kaskazini mwa Mombasa. Hana taarifa zaidi kwa sasa

08:16:Frawaso Kimutai kupitia Bofya facebook yuko katika kituo cha Menengai mjini Nakuru kura ilianza kupigwa saa moja asubuhi na foleni ni ndefu ingawa inakwenda polepole mwendo wa kobe
08:15: Fatma Sanbur yuko mtaani Kibera na anasema watu ni wengi sana lakini hakuna mbinu ya kupanga foleni. Anasema watu wanapangwa kwa orodha ya majina na hata baada ya saa moja tangu waanza kupangga foleni saa kumi na moja, shughuli yab upigaji kura ilikuwa haijaanza

07:11 James Mwangi: Kwenye ukurasa wa Facebook wa Bofya bbcswahili anasema yuko kwenye foleni na habanduki
07:14 Hison Nyakundi : Yuko mjini Eldoret kwa Foleni tayari kupiga kura Bofya bbcswahili
07:24 Kips Oscar: Kupitia Facebook yuko katika kaunti ya Marsabit anasema upigaji kura unaendelea bila wasiwasi na kuwa wanatarajia shughuli itakamilika kwa muda bila wasiwasi

Usalama ulidhibitiwa asubuhi na mapema wakati upigaji kura ulipoanza

07:28: Mgombea mwenza wa Uhuru Kenyatta, William Ruro amepiga kura mjini Eldoret

07:32: William Ruto anasema kuwa anajivunia uchaguzi wa Kenya unafanyika kwa amani licha ya dukuduku la wengi. Anasema anawataka wapinzani kukubali matokeo ya uchaguzi vyovyote matokeo hayo yatakavyokuwa.

07:43 Upiga kura bado haujaanza katika baadhi ya sehemu za Kenya. Wapiga kura wanalalamika kuwa katika vituo kadhaa tarakilishi zimegoma na kwa hivyo watasubiri muda kabla ya kupiga kura zao

07:47 Eco Seyar Papa akiwa mjini Nairobi anasema Wakenya wamejitokeza kwawingi jijini Nairobi katika eneo la Dagoreti. Foleni zilianza kupigwa kuanzia saa tisa usiku tangu kuanzishwa kwa demokirasia ncini Kenya watu waeneo hili hawajawai kujitokeza kwa mapenzi kama inavyo onekana.
07:50 Mwandishi wa BBC Ann Mawathe yuko mjini Kisumu na anasema ameona foleni ndefu sana watu wakiwa hamasa kupiga kura. Wamepiga foleni tangu saa nane usiku.


Foleni ya watu mjini Mombasa

07:52 Mombasa eneo la Kaloleni mpiga kura mmoja amesema hadi kufikia sasa upigaji kura haujaanza kwani maafisa wa tume ya uchaguzi bado hawajawasili na vifaa vyao

source:bbc
 
Jubilee presidential candidate Uhuru Kenyatta's wife Margaret casts her vote at St Mary's School
 
IEBC says it's aware of challenges being experienced across Kenya but appeals for calm and patience from voters as they resolve hitches
 
Last night had a telephone conversation with Kenyan friend a fanatic Raila supporter nicknamed Raila, He was in a merry mood boasting of first round win then to my utter suprise said "embu zungumusa na jubilii kesho tunawanyorosha" passing phone to jubilee suppoter with whom apparently they were having "vuta pumzi" beer at a local pub.(wondering what happened to alcohol ban on day preceding election) Kenyan grassroot simply amazing. Wishing our brothers peaceful election.
 
Voting in Nakuru County



 

Attachments

  • Voting-Nakuru-County.jpg
    82.7 KB · Views: 617
  • Voting-Nakuru-County2.jpg
    59 KB · Views: 618
CORD presidential candidate Raila Odinga due at Old Kibera Primary School any time now to cast his ballot
 
We pray for peace safe and good election to the finale!! God be with the Kenyas to run safe and peaceful election!!!

 
PM Odinga's voter details verified and he has been issue with ballot papers. He is accompanied by his wife Ida
 
KENYA:
Polisi wanne wameuawa mjini Mombasa eneo la Changamwe huku maiti ya mtu mmoja ikipatikana eneo la Moshomoroni, huku mtu mmoja akijeruhiwa kwa kukatwa panga eneo hilo hilo.

Tutakupasha habari zaidi punde tutakapozipokea

Source: BBC Swahili, kwenye ukurasa wao wa Facebook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…