March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

hawajasema....source KTN TV na Citizen Radio

Inasikitisha ukute kaona matokeo ya kweli anayojua sio anayoona kwa TV?


Hatuwezi jua, na hata tukisubiri hatutajua maana sababu zilizomfanya ajiue amekufa nazo. ''Labda kaona mwelekeo wa upepo si ule aliotarajia'' maswali yatakua mengi kuliko majibu. Tusonge mbele tusubiri matokeo ya mwisho.
 
hadi sasa kura 300,000 laki tatu zimeharibika kutokana na wananchi kutokua na elimu jinsi ya kupiga kura. Hii inaweza ikatia doa matokeo!. mia
 
This is provisional result not the final result!
 
Henry Kosgei amekubali matokeo ya ubunge kua amekubali ameshindwa!
 
Tunaiomea Kenya mchakato wa uchaguzi uishe vizuri. Atakayeshinda ndiye chaguo la watu na la Mungu pia.
 
ningependa kuona Odinga anashinda coz namkubali sana huyu mzee,but natambua pia kuwa ni jukumu la wakenya wenyewe kuamua mustakabali wa nchi yao.so wish u jiranis all the best.always stay on the safe side/amani idumu.
 
Raila odinga 2013

mie ni Tanzania lakini kwa hali ya ukabila iliyoigubika Kenya na watu wake,Uhuru akipita hata kama ni kula halali lakini nina hakika 100% huyo hafai kuiongoza kenya ila atakuwa ni rais wa kabila fulani huko kenya
itakuwa ni upumbavu wa hali ya juu kuwashawishi watanzania kuiga mfano toka kenya,tuige Tribalism?
 
Cord's Kalonzo Musyoka says coalition is optimistic of victory; urges supporters to remain calm and await final vote count.We know we have played our card very well.Agwambo ni Raisi wa nne wa Kenya.😛eace:
 
According to Citizen Radio news bulletin at 4pm, Uhuru Kenyata has so far scooped 2.6 Million votes(53.8%) while Raila has scooped 2 Million votes (41.6%).
 
Soon we are going to witnes a Kenyan Lipumba.

Mkuu umenichekesha sana. Mpe nafasi kwanza, mambo yanaweza kubadilika katika mazingira ya kimiujiza kwa sababu katika mazingira ya kawaida ndio movie imeshaisha hivyo...
 
Nyinyi mnaoshangaa ukabila kwa sababu ni wageni wa siasa za Kenya. Maeneo pekee ambako hamna ukabila ni Mombasa na huko nako kuna udini instead of ukabila.

Hakuna mtu anayeshinda uchaguzi Kenya bila ukabila kama jinsi Bongo ilivyokuwa haiwezekani kushinda uchaguzi bila rushwa.
 

kwa hiyo ili urizike, ulitaka wapiga kura wa Kenya wawe wale tu wasio na makabila?
 
16:05 Mr Kenyatta 2,664,462 (53.71%) against Mr Odinga's 2,072,596 (41.78%)......MAY GOD BLESS KENYA, GOD BLESS EAST AFRICA
 
16:05 Mr Kenyatta 2,664,462 (53.71%) against Mr Odinga's 2,072,596 (41.78%)......MAY GOD BLESS KENYA, GOD BLESS EAST AFRICA

He will never bless Kenya, because He doesnt like You!
 
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga

Mgamba bila kumtaja dr.Slaa siku haikamiliki,Big up sana Dr. Slaa,unatisha ndo maana wanakuogopa.
 
Aiseee ngoma bado lakini uhuru kenyatta mshindi!

According to Citizen Radio news bulletin at 4pm, Uhuru Kenyata has so far scooped 2.6 Million votes(53.8%) while Raila has scooped 2 Million votes (41.6%).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…