March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Ilikua ni saa 11 na dakika 05
Uhuru kura 2,697,056
Odinga kura 2,107,670 kura bado zinahesabiwa
SOURCE. BBC NEWS
Tusipende kutukana yalikua ni makosa ya kiuandishi
 
Miundo mbinu na challanges ya technology walio tumia
Hivi inakuwaje nchi ndogo kama Kenya mpaka sasa wamehesabu asimilia 30% tuu ya kura? Kweli East Africa, we have long way to go.
 
Pengine anafikiri cord watafikiri kuna kamchezo kanaendelea!

Sijui kwa nini anawalumu Jubilee kuanza kusherehekea, hata kama ningekuwa mimi bila kujali matokeo ya mwisho Kalonzo anafikiri kuongoza toka jana ni mchezo.
 
By 1739 au 5.39 pm Uhuru 2,722,413 na Raila 2,137,089 sina hakia ni vituo vingapi kwa haya or say % ngapi ya vituo!! The game moves on...
 
muda mfupi kama saa moja ilopita Uhuru alikuwa na silimia 55 na Odinga 40. sasa hivi 17:34 Uhuru ni 53.6 na Odinga ni 42. hii ni kwa mujibu wa Kenya Elections 2013 - Daily Nation

Site hii http://elections.nation.co.ke/news/-/1631868/1711854/-/osimchz/-/index.html inaweka matokeo kila baada ya muda mfupi. Fuatilia!
 
Mkuu mpaka sasa kambi ya Uhuru wana haki ya kusherehekea, ukiangalia kwa makini ngome kuu ya Raila ni iliyokuwa Nyanza province ambako asilimia kubwa ishahesabiwa lakini pia hiyo iliyokuwa Nyanza province baadhi ya sehemu ni ngome ya Mudavadi, ukija huku karibu na Rombo yaani maeneo ya Taveta ambako ni ngome ya Kalonzo na kwenyewe kushahesabiwa, Mombasa ambako Raila anakubalika kuliko Uhuru tayari kushahesabiwa, bado hasa maeneo ya Kaskazini na kati lakini hasa Nairobi ambayo kura ziko even distributed kwa hao jamaa wawili, kwa hiyo kwa mwenendo huu nadhan Uhuru yuko kwenye favor ya kupata ushindi.
 
hii ngoma inarudiwa! ila sijau kurudia ni baada ya muda gani! please tell.

Kweli watoi wangu uchaguzi wa Kenya umeamsha hata tuliokuwa kitandani! Naona leo ni post moja tu tangu ujiunge. Karibu mkuu wangu au umekosea tarehe na kuwa umejiunga leo? Welcome so much isiishie leo tu mkuu. Sasa ngoma iko 2,725,575 kwa Uhuru na Raila 2,139,603 (at 1749 hrs). Gap ni kubwa bado.
 
Mpaka sasa Uhuru 54%.
Raila 41%
Kura bado znaendelea kuhesabiwa mpambano ni mkali

Baada ya dakika chache huu uongo utaondoka. Tuna verified source kwa user Kenyan tu!! Hizi za kwako ni za uongo!! Niko Live Kenya naangalia!!
 
at 1759 hours Uhuru 2,726,266 Raila 2,139,951
 
Sasa hivi saa 1800hrs
Uhuru 5.48% 2,726,266 , Odinga 41.98% 2,139,951.
Source CITIZEN TV
 
Daaah naona Odinga anaendelea kuburuzwa na hapa hachomoki lakini wasi wasi wangu ni katika kukubali matokea tuu!
Sasa hivi saa 1800hrs
Uhuru 5.48% 2,726,266 , Odinga 41.98% 2,139,951.
Source CITIZEN TV
 

Isome vizuri kwanza post yangu uielewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…