March 30, 1867: Kosa kubwa la Kihistoria walilofanya URUSI na kuwapa nafasi US kuwa Kiranja wa Dunia

urusi haina msimamo kabisa kwani mpaka sasa sijagundua why waliuza hiyo alaska je ni matatizo ya kiuchumi au nini?
tatizo wabongo hawapendi kusoma. Mbona mleta mada aleel;eza kila kitu hadi sababu za kuuzwa? sasa unataka aelezeje. Watanzania bwana!
 
Hivi hatuwezi kumbadili twiga mnyama nembo wetu na kumtumia mwingine ambaye ni aggressive(Hata Black mamba poa tu), mimi nahisi nchi yetu ipo kigoigoi kwa ajili ya huyu twiga. Ona wenzetu Eagle vs Siberia Bear.
haaaahaaa fact aisee
weka duma au simba ..kama sio mbwa mwitu
 
tatizo wabongo hawapendi kusoma. Mbona mleta mada aleel;eza kila kitu hadi sababu za kuuzwa? sasa unataka aelezeje. Watanzania bwana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naomba code za kupata GB za bure kwa vodacom Tigo na airtel wanafanyaje?
 
Aisee!
 
Kibiblia hilo lilitabiriwa, kuinuka kwa marekani na upapa. hakuna kingezuia hilo kutokea
soma ufunuo 13 akielezewa kama mnyama wa pili aliyetoka nchi kavu. mnyama wa kwanza upapa
11 Pia nikaona mnyama mwingine akija kutoka katika nchi. Alikuwa na pembe mbili kama kondoo, lakini anaongea kama joka. 12 Mnyama huyu alisimama mbele ya mnyama wa kwanza na kutumia nguvu ile ile ya mnyama wa kwanza. Alitumia nguvu hii kumfanya kila mtu aishiye duniani amwabudu mnyama wa kwanza. Mnyama wa kwanza ndiye mwenye jeraha la mauti lililopona. 13 Mnyama wa pili alifanya miujiza[a] mikuu. Alitengeneza hata moto ushuke kutoka mbinguni kuja duniani watu wakiangalia.

14 Mnyama huyu wa pili aliwadanganya watu wanaoishi duniani kwa kutumia miujiza ambayo amepewa uwezo wa kuifanya kwa ajili ya mnyama wa kwanza. Aliwaamuru watu kutengeneza sanamu ili kumheshimu mnyama wa kwanza, aliyejeruhiwa kwa upanga lakini hakufa bali akawa hai tena. 15 Mnyama wa pili alipewa uwezo wa kuipa uzima sanamu ya mnyama wa kwanza. Kisha kinyago kiliweza kuongea na kuamuru watu wote ambao hawakukiabudu wauawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…