Marco Chali/studio ya MJ wako wapi?

Marco Chali/studio ya MJ wako wapi?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Nisaidieni wadau ninashida sana na Maco Challi!
 
masaki. wasiliana nae kwenye fb page yake au website yake ya marcochali.com kuna namba zake mule
 
masaki. wasiliana nae kwenye fb page yake au website yake ya marcochali.com kuna namba zake mule

ahsante mkuu Hapokei sim
niliwahi sikia Masaki kahama
 
ooh bas atakua kahama siku za hivi karibuni. but sio mbaya ushapata contacts zake.

ahsante mkuu
nasikia kahama mwishoni mwa mwezi jana
wacha niendelee kumsaka!
 
Master kama hakupiga hela enzi zile watu wanapanga foleni anawaambia waimbe mlangoni basi ishamkata!
 
Wakuu Kwa Yeyote Anayejua Maco Chali Ntampata Vp
anisaidie!!
 
nenda ofisin kwake

Ningefika Ila Sijui Ilipo
Kwa MJ RECORD STUDIO ,Sikuti Mtu

Nimechunguza Nimeambiwa Siku Hizi Hafanyii Tena Kazi Pale
Alipo Kwa Sasa Nimeshindwa Kujua
 
Ndugu yangu, mimi na bongoflava wapi wapi kaka!

Mkuu Kwani Wewe Sio zacha Anayetengeneza Nyimbo Kadhaa
Zikiwamo Za Madee Ndani Ya MJ RECORD Chini Ya Maco Chali?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kwani Wewe Sio zacha Anayetengeneza Nyimbo Kadhaa
Zikiwamo Za Madee Ndani Ya MJ RECORD Chini Ya Maco Chali?

ndie yeye ni mdogo wake na marco chali
 
Last edited by a moderator:
mkuu majigo umeshampata marco? kama shida ni producer mbona wako Jf humu telee!! mziki mzuri haupo kwa marco chali tu now kila m2 anafanya with best quality.. marco ili umpate bila kalenda mfate studio kwake utapata ratiba yake ya maudhurio pale mkuu.
 
sawa Kiongozi
ushauri Mzuri Ila Ofisin kwa Mj (Masaki)
wanasema Amehama
alikohamia ndio utatata
 
Back
Top Bottom