ahsante mkuu Hapokei sim
niliwahi sikia Masaki kahama
ahsante mkuu
nasikia kahama mwishoni mwa mwezi jana
wacha niendelee kumsaka!
nenda ofisin kwakeMkuu Maco Chali Sijampata Mpaka sasa
mkuu majigo umeshampata marco? kama shida ni producer mbona wako Jf humu telee!! mziki mzuri haupo kwa marco chali tu now kila m2 anafanya with best quality.. marco ili umpate bila kalenda mfate studio kwake utapata ratiba yake ya maudhurio pale mkuu.