Hapana huyu mama wa binti nadhani ka take advantage kwa sababu tendo lilifanyika dubai ingekuwa UK huyo kijana asingekuwa na hatia.. UK consent ni 16 years ila btn young people usije mtu mzima ukajichanganya kama huku kwetu jitu zima linaparamia watoto.