Elections 2010 Marcussy Mgweno Kugombea Mvomero CCM

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523



Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro anaetoka Maeneo ya Turiani Bw Marcussy Mgweno (pichani) Ametangaza nia ya kuomba ridhaa ya wananchio wa Jimbo la Uchaguzi la Mvomero kuchagua awe mwakilishi wao Bungeni katika uchaguzi Mkuu utkao fanyika baadae Mwaka huu.
 
hongera mzawa kweli tunahitaji wazawa
 
Huyu sio mzawa wala mkulima anayejua maisha tunayoishi angalia nyuma ya hiyo picha anatuonesha kuwa ana magari mengi huyu hatajua shida za watanzania wa muvomero
 
hongera mzawa kweli tunahitaji wazawa
Nilidhani tunahitaji maendeleo! Mimi naamini, kwa mfano, mnahitaji barabara ya lami kutoka wami-dakawa mpaka turiani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…