The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hizo tuhuma zimetaja mabomu? Mbona una akili nzito sana ya uelewa?jibu kwa oja.una kumbukumbu ya saudi arabia kupata shutuma.usikimbilie matusi na ichi ndicho watanzania kama wewe wanatatizo
Kuna sehemu yeyote nimetaja dini? Naona umeanza kujishtukia sasa,kumbe uliandika upuuzi wako kisa chuki ya udini? Haya tuambie sasa mbona UK hawana hata refa mmoja? Na wao wangeenda na mabomu?naona dini imekukaa sana mpaka kutukuza ujinga nchi usizo jua
jibu kwa oja.una kumbukumbu ya saudi arabia kupata shutuma.usikimbilie matusi na ichi ndicho watanzania kama wewe wanatatizo
Huyu sidhani kama alimaliza hata darasa la tatu!oja ndiyo nini mkuu?
Ni hivi..HOJA
ichi ndiyo nini mkuu?
Ni hivi..HICHO
Wasalimie uendakoJiongeze mwenyewe mkuu!
Kwaheri..
Mbona sio udini!Acha udini, jikite kwenye mada husika!