Si tuliambiwa kuwa uongozi wa akina Malinzi ndio ulichochea mambo haya, au hiii ni mechi ilikuwa nyakati hizo!?TAKUKURU MPO??
Tofautisha ofisi ya Tff na marefa ,rushwa haijatendeka kwenye ofisi ya Tff ni kama vile mwalimu achukue rushwa huwezi kulaumu ikuluSi tuliambiwa kuwa uongozi wa akina Malinzi ndio ulichochea mambo haya, au hiii ni mechi ilikuwa nyakati hizo!?
OK, asante kwa ufafanuzi.Tofautisha ofisi ya Tff na marefa ,rushwa haijatendeka kwenye ofisi ya Tff ni kama vile mwalimu achukue rushwa huwezi kulaumu ikulu
Ulitakaaa awerafiki NA ....yakoNkongo Ni Rafik yake na malinzi