Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Huyu referee anayechezesha pambano la Congo DR na Morocco ni muungwana sana. Wachezaju wa Morocco wakiwa wanatoka anawasindikiza anawaambia wasikimbie wasije wakaanguka wakaumia.
Naona mzozo mchezaji mmoja wa Congo kaamua kumchana referee kuwa inaonekana ana..... Na Morocco wamekasirika sana... Hapa ndo utawapenda waarabu huwa ni wakorofi. Hawa ni damu yangu kabisa...