Marefa wa English Premier League nao ni Vilaza tu

chamakh

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,075
Reaction score
1,343
Ukiangalia performance ya Marefa wa Ligi Kuu ya Uingereza pamoja na kuwepo kwa VAR bado wana maamuzi dhaifu sana.

Waamuzi hawa wamelalamikiwa mara kwa mara lakini hawabadiliki. Tarehe 12 Mei 2022 Refa Paul Tierney ametoa a very soft penalty kwa Spurs dhidi ya Arsenal.

Maamuzi mengine ya hovyo ni kama yalivyoandikwa hapa


Inatia kinyaa sana kwa EPL kuwa na very incompetent referees.

Hawana tofauti kabisa na wa NBC Premier League ya Bongo basi tu kwa vile hawa ni Wazungu
 
Pambana na arse8 yako mkuu, hao ni binadamu sio Malaika hivyo kukosea ni sehemu ya maisha.

Usitegemee waamzi wawe perfect 100% hilo sahau, haijawahi tokea ligi ambayo haina makandokando, hivyo kwenye kandanda raha mojawapo ni matukio ya utata yanayojitokeza kwenye pitch

Pole lakini maana Spurs wameamua waache kuwapelekea moto
 
Wanafanya kusudi,na maamuzi ya hovyo Mara nyingi ni dhidi ya arsenal.

Mike Dean alishangilia goli la Spurs dhidi ya arsenal yeye akiwa refa
 
Halafu upumbavu uliotokea var haijaangaliwa hata mara moja.
 
Refa fala sana kaharibu mood ya game wachezaji wakaanza kupanic nilidhani na xhaka nae angepigwa red card alikuwa kashapanic
 
Kuna thread nilifunguaga
Kuna thread nilifunguaga humu juu ya marefa wa Epl na bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…