Marefa wa Tanzania safi sana, sasa hivi mnatenda haki

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Kulikuwa na wimbi la kuziumiza baadhi ya timu na kuzinufaisha Simba na Yanga pekee, sasa nawapongeza waamuzi kwa kusawazisha mzani. Kama ni kubeba tuwabebe wote, kama siku hizi mnavyotupa penati Azam nafurahia mno.

Yusuph Bakharesa kama bahasha inatembea itembeze tu. Tuoneshane jeuri ya pesa mjini.

Azam Timu, Bora Bidhaa Bora!
 
Azam kashajifunza Kununua Mechi, Simba kazi anayo

Maana Azam hawez kumpindua Yanga pale juu
 
Kulikuwa na wimbi la kuziumiza baadhi ya timu na kuzinufaisha Simba na Yanga pekee, sasa nawapongeza waamuzi kwa kusawazisha mzani. Kama ni kubeba tuwabebe wote, kama siku hizi mnavyotupa penati Azam nafurahia mno.

Yusuph Bakharesa kama bahasha inatembea itembeze tu. Tuoneshane jeuri ya pesa mjini.

Azam Timu, Bora Bidhaa Bora!
Sasa Kuna haja gani ya kusajili wachezaji Kwa gharama kubwa, kuwa na technical bench ora, kuweka kambi nzuri, kuwalipa mishahara mikubwa kama siri ya ushindi ni kununua mechi?? Izo pesa za kusajili wachezaji Bora Kwa gharama kubwa si zingeelekezwa kutengeneza ice cream za mapera mkaongeza faida Kwa kampuni???
 
Subiria sare yako na NAMUNGO
 
Back
Top Bottom