Sasa Kuna haja gani ya kusajili wachezaji Kwa gharama kubwa, kuwa na technical bench ora, kuweka kambi nzuri, kuwalipa mishahara mikubwa kama siri ya ushindi ni kununua mechi?? Izo pesa za kusajili wachezaji Bora Kwa gharama kubwa si zingeelekezwa kutengeneza ice cream za mapera mkaongeza faida Kwa kampuni???Kulikuwa na wimbi la kuziumiza baadhi ya timu na kuzinufaisha Simba na Yanga pekee, sasa nawapongeza waamuzi kwa kusawazisha mzani. Kama ni kubeba tuwabebe wote, kama siku hizi mnavyotupa penati Azam nafurahia mno.
Yusuph Bakharesa kama bahasha inatembea itembeze tu. Tuoneshane jeuri ya pesa mjini.
Azam Timu, Bora Bidhaa Bora!
Subiria sare yako na NAMUNGOSasa Kuna haja gani ya kusajili wachezaji Kwa gharama kubwa, kuwa na technical bench ora, kuweka kambi nzuri, kuwalipa mishahara mikubwa kama siri ya ushindi ni kununua mechi?? Izo pesa za kusajili wachezaji Bora Kwa gharama kubwa si zingeelekezwa kutengeneza ice cream za mapera mkaongeza faida Kwa kampuni???
Namungo anakaa mapema sana.. 3-0Subiria sare yako na NAMUNGO