Marefa wa Tanzania wanangoja nini kugomea kuchezesha mechi zote za NBC?

Vipi kuhusu wachezaji nao wagome
 
Kama hata AFCON tu hawaitwi halafu unakuta refa kutoka Somalia kaitwa
 
Wewe kama siyo Arajiga basi ni Kayoko . Na kama siyo kayoko basi ni
mwinchui
 
Kama marefa wenyewe ndiyo kama yule alikataa goli ya Simba kwenye mechi ya mzunguko wa kwanza, basi na mimi nawashauri wagome milele
 
We Ramso Kayoko,

Kama FIFA na CAF hawawaamini kuchezesha World Cup na Afcon badala yake wanachukua Waamuzi kutoka Rwanda, Djibouti, Kenya, Somalia, n.k sisi ni akina nani tukuamini wewe na wapuuzi wenzako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…