mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Sio sifuatilii nafuatilia ndio maana nakuambia EPL ina makando yakeMatatizo ya maamuzi ya marefa hayapo epl na vpl tu hata la liga, serie a yapo. Ila kulinganisha matatizo ya marefa wa epl na vpl inaonesha kama vile hufuatilii soka mkuu.
Marefa wa vpl wana matatizo ya Mara kwa mara na tofauti na epl ambapo matatizo yapo ila sio Mara kwa mara. Kwa hiyo umakini wa marefa wa vpl huko chini sana ndio maana kuchezesha hata CHAN tu huwaoni.
Goli linawekwa kona hii ni Tanzania pekeeSio sifuatilii nafuatilia ndio maana nakuambia EPL ina makando yake
Last season unakumbuka
1.VAR ilisemekana IPO +ve kwa united na Liverpool huku man city akiumuia
2.Unakumbuka hata red zao zilivyokuwa na utata
3.Penat zisizo eleweka
Refer asto Vila vs United penat ya Bruno
Refer aston Vila vs shelfied united disallowed goal
Refer united vs Liverpool mechi ya 1-1
Refer Liverpool vs Man city 3-1
Refer Liverpool vs wolves zote mbili
Refa Bora EPL: MICHAEL OLIVERWadau karibuni tujaribu kuchambua uzuri na udhaifu wa marefa wa VPL na wale wa EPL. Kwa vile hapa nchini kumekuwa na malalamiko kuwa kuna watu wanabebwa. Pia huko EPL kumekuwa na malalamiko juu ya marefa licha ya uwepo wa VAR.
Tuanze na
1. Yupi refa bora Tanzania na England pia
2. Yupi anaongoza kuboronga Vpl na EPL
3. Tukio lipi kubwa unalikumbuka la refa kuboronga
4. Unadhani nini tatizo la marefa kwenye hizi nchi mbili.
5.Nchi ipi kati ya hizi ina marefa hovyo zaidi?
Hapo kwa kambuzi umenifrahisha sanaaaRefa Bora EPL: MICHAEL OLIVER
Refa Bora VPL:HERI SAASI
refa wa ovyo EPL:MIKE DEAN
refa wa ovyo VPL:ABDALLAH KAMBUZI
[emoji2][emoji2][emoji2]Hapo kwa kambuzi umenifrahisha sanaaa
Kuna ukweli aiseMarefa wa vpl na epl wote wamefanana hakuna mwenye uafadhali
Hapo mi napingana na wewe. Wale wa EPL wameletewa hata na technology lakini wanaboronga tu, wakt huku kwetu hata goal technology hamnaMatatizo ya maamuzi ya marefa hayapo epl na vpl tu hata la liga, serie a yapo. Ila kulinganisha matatizo ya marefa wa epl na vpl inaonesha kama vile hufuatilii soka mkuu.
Marefa wa vpl wana matatizo ya Mara kwa mara na tofauti na epl ambapo matatizo yapo ila sio Mara kwa mara. Kwa hiyo umakini wa marefa wa vpl huko chini sana ndio maana kuchezesha hata CHAN tu huwaoni.
bundesliga mpira uliingilia kupitia nyavu za pembeni refa akaruhusu goli.Goli linawekwa kona hii ni Tanzania pekee
Ila wote wanakoseaHuwezi kuwafananisha marefa wanaotumia VAR na hawa bongozozo
Nilikuwa mechi ya wolfbug hiyo nakumbuka sanabundesliga mpira uliingilia kupitia nyavu za pembeni refa akaruhusu goli.
Hili ni swali la msingi kuwauliza hasa kwenye ofsides na penatKuna maswali najiuliza mara kwa mara hv hawa marefa wa vpl ni uwezo wao mdogo au wana fanya makusudi??
uko sahihi mkuu.Nilikuwa mechi ya wolfbug hiyo nakumbuka sana