Marehemu Daudi Mwangosi Akihojiwa

Marehemu Daudi Mwangosi Akihojiwa

Ni kwa namna gani marehemu anaweza kuhojiwa? Hapa hapa duniani au mbinguni?
 
Dr. Slaa aliahidi kuwa atamsaidia mke wa marehemu Mwangosi kusomesha watoto. Alifanya hivyo mbele ya kadamnasi kwa microphone aliyolazimisha apewe ili atangaze kwa sauti kubwa.

Cha kusikitisha ni kwamba sasa hivi kila mke wa Mwangosi akimpigia simu kumkumbusha msaada alioahidi Dr. Slaa hapokei simu!!!

Hizi siasa za ujanja ujanja na ulaghai zinaliharibu taifa...
 
zemarcopolo acha kupotosha watu hii single mlikuja nayo mapema sana mke wa marehemu akawaumbua kwa kukanusha naona mmeifufua mkidhani itawatoa. Ila kifupi hii ilishakufa kabla ya kupelekwa sokoni
 
Dr. Slaa aliahidi kuwa atamsaidia mke wa marehemu Mwangosi kusomesha watoto. Alifanya hivyo mbele ya kadamnasi kwa microphone aliyolazimisha apewe ili atangaze kwa sauti kubwa.

Cha kusikitisha ni kwamba sasa hivi kila mke wa Mwangosi akimpigia simu kumkumbusha msaada alioahidi Dr. Slaa hapokei simu!!!

Hizi siasa za ujanja ujanja na ulaghai zinaliharibu taifa...

Msemaji wa mjane?
 
Una ushahidi kuwa hapokei simu? Au propaganda zenu za magamba
 
Back
Top Bottom