Marehemu Kanumba Alkuwa Anakesi Ya Kujibu

brasy coco

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
1,489
Reaction score
900
Sema kweli japo chungu[emoji24]

Ndugu zangu tunakumbuka vyema msanii maarufu kanumba namna ya kifo chake kilivyotokea lakini MTU huyo ambaye Leo amehukumiwa pia alkuwa ni muhanga Wa marehemu kanumba.

Kwa maana ya kwamba kanumba nae alivunja sheria ya nchi kwenda kutembea na Katoto kama lulu wakat huo lulu ana miaka 17 jamni hivi kama we ni mzaz unajiskiaje mwanao kuharibiwa na libabu kama kanumba???

Japo Tumekatazwa kusema mabaya ya marehemu ila tuseme kidogo.

Bwana huyu ndiye chanzo cha kumuharibu lulu Wa watu na bwana huyu ndo sababu ya kumsababishia lulu matatzo kwa uzembe wake Wa ulevi na kupenda vitoto hali ya kuwa wakat huo lulu hakuwa na uwezo Wa akili Wa kutosha kupambanu mambo kutokana na umri wake.......

Mahakama haikutazama hili haikutazama marehemu alkuwa mkosaji marehemu alkuwa akimpiga Mtoto lulu.


Lulu kaonewa kesi irudi mahakamani apate haki yake........

Hata kama maelezo kajikanyaga lulu bado ni mdogo hana uwezo huo na ukitazama kesi inayomkubali ni nzito.....

Kanumba alkuwa akimbaka uyo Mtoto kwa umri wake maana alkuwa chini ya miaka 18 wakat mama lulu akiamini kama kaka kwa lulu kumbe yeye alkuwa akimkuza Mtoto lulu......
 

Attachments

  • images.jpeg
    13 KB · Views: 61
Wazazi wake ndo walitakiwa kwanza wawe ndani hadi muda huu.., unamuachiaje Mtoto wa Kike wa miaka 7 aende kuishi na Kijana wa Kiume usiemfahamu eti kwa kisingizio cha kwenda kukuza Kipaji kama si upunguani huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…