Marehemu Kibo Marealle

.
Asante Ganesh na pole, nimeguswa sana.
Nilimfahamu tangu akiwa kijana mdogo nikiwa Tambaza, yeye akimfuatilia binti wa Kida akikaa mtaa wa nyuma ya Tambaza. Kwa kweli ni mmoja wa Marealle wacheche waliamua kutolivaa koti la Umangi Mkuu kwenye paji za nyuso zao, was really a humble man.

Nilihudhuria last respect pale kwake Jangwani Beach, the truth, ni miongoni mwa misiba michache really class in the sense of it japo mabinti wa Kichagga walizidisha uzungu sana mpaka msibani haswa wale waliobahatika kuwa na leggy line, walipiga vimini vya kupindukia, no kangas etc.

Wengi waliguswa sana na huyu kijana japo alikuwa 50's he looked young as ever with his baby face and ever smilling. Kibo alikuwa anasmile na kila mtu sio lazima akujue, Wachagge wengine wenye nafasi zao, hujichanganya wao kwa wao, na akismile na wewe ni mpaka akujue, not for Kibo.

RIP Kibo Marealle.
 
RIP Kibo!
ila mie nilisikia alifia sebuleni akiangalia tv asubui ya pasaka na pia inasemekana jamaa ni teja so inawezekana alizidisha dozi ikamuondoa na pia wanadai kuwa ni mtoto sio rizki so mwenye kujua zaidi atuabarishe!!!
 
BornTown, sisi Watanzania/Waafrika na binadamu wote, lazima tuwe na heshima fulani kwa marehemu yoyote awe ni ndugu yako ama hapana. Baada ya kufa swali alikufa kwa nini huulizwa msibani, baada ya kuzikwa, huzikwa ili aachwe apumzike kwa amani, hili la kuanza kufuatilia maisha yake, nadhani huu sio wakati wake.
Alikuwa mtu mwema, ameitwa na Mungu natural death, mwache apumzike kwa amani.

RIP Kibo Marealle.
 
RIP Kibo!
ila mie nilisikia alifia sebuleni akiangalia tv asubui ya pasaka na pia inasemekana jamaa ni teja so inawezekana alizidisha dozi ikamuondoa na pia wanadai kuwa ni mtoto sio rizki so mwenye kujua zaidi atuabarishe!!!

you nail it ... that is the truth watu waache unafiki nyeupe ni nyeupe haiwezi kuwa njano...
 
you nail it ... that is the truth watu waache unafiki nyeupe ni nyeupe haiwezi kuwa njano...
nilijua mtafikia hapa,na ndio maana boflo kaileta hii mada ya mwenzie,ok great thinker,we talk openly mwageni ugali hapa,by the way R.I.P mr kibo alikua verry chaming person,hakubagua wala nini hayo mengine sijui.
 
R.I.P bwana Kibo... you were a character, a success, controversial but most of all you were loved by people around you!!! those who in one way or another knew you will appreciate you way of life and all that you have left behind... which is unconditional love!!
 
Sawia Kaka, it should be ni mtu aliyekuwa karibu na Kibo..hao wapambe wengine ambao hawakukutambua mzee ni kawaida kwenye mambo ya msiba mzee...na pengine hata kama wangekufahamu, kukupa lifti ya kwenda Moshi ingekuwa vigumu pia wengi huwa wanaona kusafiri na msiba ni kama kutuma fursa ya kwenda kwenu kusalimia.

Thanks
 
R.I.P Kibo,

Poleni ndugu wa Marealle, jamaa na marafiki.

Ganesh umei breakdown issue kama muandihi wa habari vile. May your most compassionate ways enrich your karma. Nyie watu ni wa kupigiwa mfano on this end. Inaonekana wewe na marehemu mlipatana kwa sababu mna characteristics zinazofanana, "matawi ya juu" - for lack of a better expression- ambayo hayajikwezi.

Regardless of any possible sexual orientation, mtu anakumbukwa kwa totality ya matendo yake na nafikiri ku stress sexual orientation kwa sana wakati huu kunaonyesha bigotry na upungufu wa kuelewa haki za mtu binafsi.
 
Mzee Kiranga, samahani bana..hapo kwenye rangi ya "msimbazi" sijakupata uzuri,una maanisha nini kwa lugha nyepesi ili itusaidie wengine kuelewa kiuwepesi?
 
All I know is dude had an effeminate demeanor... claiming that he was gay given his apparent feminine-like body language is another story...
 
Rip Kibo..

from what i read and hear...he had soo much love to give....,,gay or he wasnt is irrelevant here...
 
You are right Pasco!! Kibo deserves respect and peace, he was a great and successful guy... lakini ni vizuri kuelimisha jamii na hasa vizazi vijavyo how one can learn from successful past gurus. na kama ni kweli kwamba alifariki kwa matatizo ya overdose, basi si vibaya kutumika kama icon ya madhara. hivi unakumbuka McDavis Mosha watu walivyomjadili hapa dar? was that respectful? did we learn anything?

so long the fallen idol, R.I.P
 
Hapo kwenye red, NOTED WITH THANKS! I wish I were there kufurahia uumbaji.....!!! Fahari ya macho haifilisi duka. Ila tuache utani siku hizi misibani jamani mabinti wanakuja wameupara utadhani wanakwenda kwenye interview!!
 
All I know is dude had an effeminate demeanor... claiming that he was gay given his apparent feminine-like body language is another story...

Sisi ambao hatukujenga utamaduni wa kusoma novel za Kiingereza tangu utotoni tunasaidiwa sana na mtandao wa google linapokuja suala la kidhungu kama cha hapo kwenye RED!!! Ila leo google pia imechemsha. Naomba msaada kwenye tuta tafadhali.
 
Wala isikupe presha hiyo mjomba. Unajua hiyo maana yake rahisi sana. Roughly tafsiri yake kwa Kiswahili sanifu ni "Mkapa Mwizi"...lol!
 
Kwanini ni jambo muhimu sana kujua/ kuchunguza sababu ya kifo cha mtu? nadhani amekufa kama wengine. Bwana ametoa na bwana ametwaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…