mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 642
Kwani kasema alifungua jicho kuzimu au ni nyumbani baada ya kumtoa mortuary?Ngoja waje wajuzi WA filamu za kuzimu
Sabakheri Wadau; Kuna Kipind Rafik Yangu Mmoja Alikufa!! Asa Wakati Wa Kumuweka Kule Mortuary Macho Yote Tuliyafumba Na Nilijionea Kwa Macho Yangu! Sasa Kuuleta Mwili Nyumbani! Kufungua Sanduku Tunaona Jicho Moja Limefumbuka!! Mmmh! Kidogo nikimbie Sema Nashukuru Kuna Mzee Alikuja Na Kunisaidia Kwani Aliniona Nilivyokuwa Na Vibrate!! Bas Baada Ya Kuzika Ikabid Niwaone Watu Wazima Na Kuwauliza Nin Chanzo Cha Lile Jambo! Naona Kila Mtu Na Jibu Lake! Ila Mzee Frank Ndo Akaniacha Njia Panda! Eti Ukiona Hvyo Ujue Zako Zimekaribia Pia! Wadau Hembe Nieleweshen Hapo? Hii Sayans Ngumu
mshana jr
Ngoja nshana Jr aje
Ile mada ya kuna watu hufa mara mbili ina majibu yotemshana jr watu wanakuita huku
Sasa mkuu kuweka link mbona unakaushaga ?Ile mada ya kuna watu hufa mara mbili ina majibu yote
Hii kitu inanipa shida ila ngoja niitafute halafu nikutag uangalie namna ya kufanyaSasa mkuu kuweka link mbona unakaushaga ?
Kuna watu hufa mara mbiliHii kitu inanipa shida ila ngoja niitafute halafu nikutag uangalie namna ya kufanya
Njoo Muleba kama haupo mbali
Km unaweza Kuwait dk 30 poaNjoo Muleba kama haupo mbali