MAREHEMU ANAPOGEUZWA MTAJI. . . . . . . HILI NI TANGAZO KATKA KIPEPERUSHI. . . . . '' Hakikisha unanunua tisheti orijino, tisheti za kampuni yetu zina ufito unang'ara pale chini ya neno R.I.P na pia jina la marehemu limewekewa mng'aro wa rangi ya dhahabu! Usidanganyike na wengne Msisitize na mwenzako, mjitokeze kwa wingi'' . . . . . . . He! Kumbe na tisheti tayari orijino na feki! Sasa kama msiba unazua upinzani wa kibiashara na kusisitizwa kufika kwa wing kama sherehe vile. KUNA UCHUNGU HAPA?
Kweli kufa kufaana....
mbona bi kidude hawakumchangamkia ivo kama ngwair!
Mbona bi kidude hawakumchangamkia ivo kama ngwair!
MAREHEMU ANAPOGEUZWA MTAJI. . . . . . . HILI NI TANGAZO KATKA KIPEPERUSHI. . . . . '' Hakikisha unanunua tisheti orijino, tisheti za kampuni yetu zina ufito unang'ara pale chini ya neno R.I.P na pia jina la marehemu limewekewa mng'aro wa rangi ya dhahabu! Usidanganyike na wengne Msisitize na mwenzako, mjitokeze kwa wingi'' . . . . . . . He! Kumbe na tisheti tayari orijino na feki! Sasa kama msiba unazua upinzani wa kibiashara na kusisitizwa kufika kwa wing kama sherehe vile. KUNA UCHUNGU HAPA?
duuh hapo watu wanajipatia pesa