Marehemu Nyaulawa, kuugua mpaka kufa kwake

Marehemu Nyaulawa, kuugua mpaka kufa kwake

Phillemon Mikael

Platinum Member
Joined
Nov 5, 2006
Posts
10,557
Reaction score
8,673
wadau mbunge wa mbeya vijiini..ndugu nyaulawa ni mgonjwa...sana ..tumkumbuke kwenye maombi...
 
Uguzeni pole. Mbona gazeti lake MAJIRA halikutuarifu mapema?
 
Pole Mheshimiwa Nyaulawa, tunakuombea upate nafuu haraka.
 
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, atampa afua, Inshaalah
 
wadau mbunge wa mbeya vijiini..ndugu nyaulawa ni mgonjwa...sana ..tumkumbuke kwenye maombi...

Huyu mzee nakumbuka alienda tibiwa India, alikuwa akisumbuliwa na intestinal cancer, Eeeh Mungu mwingi wa rehema mponye mh Nyaulawa, nakemea nguvu giza na kifo, wote tuseme Amina.......
 
Mungu amsaidie apone na kurejea katika hali yake haraka iwezekanavyo
 
Huyu mzee nakumbuka alienda tibiwa India, alikuwa akisumbuliwa na intestinal cancer, Eeeh Mungu mwingi wa rehema mponye mh Nyaulawa, nakemea nguvu giza na kifo, wote tuseme Amina.......
....Ushirombo hii yako haijatulia unakemea kifo????? No way man kufa ni wajibu lakini kwa imani zetu tunawajibika kuwaombea wale wapendwa wetu wanapokuwa katika magumu ili pale mwenyezi mungu mwingi wa rehma awape unafuu basi...other wise hatuna la zaidi...

Ugua pole mh.nyaulawa
 
Tunakuombea upone na urejee katika kazi zako kama kawaida. Ila je amelazwa hospitali gani? Ni vema kumjulia hali.
 
Imeandikwa kuwa ni kukiri kwa kinywa chako............. Admitting kuwa nakufa basi na mungu huitikia kibali chako.
 
Wana JF,
Mh Richard Nyaulawa is no more!
Amefariki usiku wa kuamkia leo.
May his soul rest in peace amen.
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa mgonjwa na hata alitarajiwa kupelekwa nje ( nadhani India) kwa matibabu lakini ndio imekuwa hivyo tena.
 
Mungu amuweke mahali pema Peponi. Alikuwa mchapa kazi hasa. Mengi tulijifunza toka kwake. Namkumbuka kama mtu ambaye alikuwa "very aggressive" ktk jambo lolote la kimaendeleo.
Nawapa pole sana ndugu jamaa na marafiki. AMEN!
 
RIP Nyaula amefariki kwa chanzo gani?kuumwa au shock?
Hivi alikuwa mbunge wa wapi huyu?
 
Back
Top Bottom