Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Wana jamvi naomba mwenye data za prof kigoma malima juu ya msimamo wake juu ya mfumo wa muungano atuwekee humu,je yeye alitaka mfumo wa muungano wa aina gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si vema kuwazungumzia watu waliofariki maana mnaonekana ni wanafki wakubwa, wakati wako hai mlikuwa wapi msiwaongelee? Hui ndo unafki kabisaaa, akili ni empty hapo kama hapo chini unavyoona hiii picha...Mi natamani nisome machapisho yake ya kitaaluma
Si vema kuwazungumzia watu waliofariki maana mnaonekana ni wanafki wakubwa, wakati wako hai mlikuwa wapi msiwaongelee? Hui ndo unafki kabisaaa, akili ni empty hapo kama hapo chini unavyoona hiii picha...
View attachment 254054
Mi natamani nisome machapisho yake ya kitaaluma