Wana jamvi naomba mwenye data za prof kigoma malima juu ya msimamo wake juu ya mfumo wa muungano atuwekee humu,je yeye alitaka mfumo wa muungano wa aina gani?
Si vema kuwazungumzia watu waliofariki maana mnaonekana ni wanafki wakubwa, wakati wako hai mlikuwa wapi msiwaongelee? Hui ndo unafki kabisaaa, akili ni empty hapo kama hapo chini unavyoona hiii picha... View attachment 254054