Marehemu Roy alikuwa anajua sana

Hivi wimbo wa Sina demu wa B Boy alitengeneza huyu Roy?
Daah aisee bonge la ngoma hilo ...

Sina demu kama unavyoniona mpenzi ..ndio maana nimekuchagua wewe ukidhi yangu mahitaji' sio kwamba mimi sitaki demu .ila sijaona mwenye sifa" uzuri ulionao wewe malaika wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mambo wewe
 
Daah aisee bonge la ngoma hilo ...

Sina demu kama unavyoniona mpenzi ..ndio maana nimekuchagua wewe ukidhi yangu mahitaji' sio kwamba mimi sitaki demu .ila sijaona mwenye sifa" uzuri ulionao wewe malaika wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ngoma niko primary basi nikawa najikutaga queen mwenyewe
 
Kazi zake zote nzuri, itengenezwe mixing ya nyimbo zake kama kumbukumbu
 
P funk na yeye ni hatari sana nikipiga kibanda cha simu ya soggy kwenye system yangu hapa utumbo unatetemeka paa linataka kung'oka afu mimi sijui nikoje yaani napenda ngoma za kitambo tu, yaani saivi na usiku huu namsikiliza
kala_pina_asiye kibali kishindwa!
 
Hapo kwa lamar bila kusahau...Langa ft chid benz-Naposimama...huu mkono lamar alitisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaweza kuiweka hiyo ngoma ya kalapina hapa...nmeitafuta sana cjaipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah kaka na kuna ngoma kibao za mensen zina quality mbovu.
Kuna ile ngoma ya country boy ft linah ngoma nzuri ila production mbovu saaana yani saana nikitaka isikiliza uwa naipenda, inabidi niiskilize kwa sauti ya chini
Inaitwa MATESO. Kaka hii ngoma naisikiliza hadi mwaka huu. Naipenda sana kutoka moyoni. Video yake alikuja kushoot Adam Juma nae akalipua lipua tu.

Ngoma kali isiyo na bahati from Audio to Video. Bongo nyosso!
 
Mmmh! Kuanzia mwaka 2003 na kuendelea, kulipia huduma ya Internet kwenye Cafe ilikuwa Jero unapewa lisaa lizima huku nusu saa ikiwa ni 300 tu. Sasa inawezekanaje mwaka 1999 iwe Buku kwa saa???
 
Hakika mkuu kwa post hii umeusuuza moyo wangu nlikua naitafuta sana hii nyimbo dah .aliye imba ni nani mkuu?tuanzie hapo kwanza.
Hahaha mkuu jamaa aliyeimba huu wimbo wa gita jina lake alikuwa anaitwa NANI.

Gita NANI nakuita, itika basiii..


Kawimbo kalikuwa katamu hako balaa!
 
Enzi hizo zeze inatamba kutoka 2eyes[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Adam wa visual lab kafia wapi jamani maana ndiyo aliyeleta mapinduzi kwenye video Tzz
2 EYEZ Production ya Frank Mtao. Jamaa alikuwa talented sana baadaye nikasikia amehamishia makazi ughaibuni.

Halafu mshikaji alimuoa Chuchu Hans lakinin wakashindwana hatimaye demu siku hizi analiwa kisela na akina Ray Kigosi.
 
Yupo kwani aliyetengeneza mabundi si akili?
Enzi za regina sema mimi napenda zaidi bongo bangla.
Enzi za steve 2k (RIP)
Nakumbuka 2berry walipotoka walitisha na shirko alikuwa anachana ka sean paul sema beat zake ziliko zafanana

Ha ha ha! Producer Shirko alibamba sana na 2Berry enzi zile akiingiza verse yake kama Sean Paul vile aisee. Siku hizi anatengeneza ngoma za Aslay na Kaswida.

Halafu mchizi anamla binamu yangu cheupe dawa Zulfa maaninah zake!
 
Kwanini unaikumbuka?

Leo ungekuwa nayo ungeifanyia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…