MAREHEMU COMPLEX
_________________
"Navuta bafu la Vibe natoa moshi wa ryhems/ kama data, data kidogo nakuja na zangu ryhems/ sitaki utani walidhani Tupo ngizani/ wakafika uwanja na kupayuka mengi Hewani/ wakavuta dhamila taswira ikapoteza Dira / Yaani!! Ninapo waza nazidi pata hasira/ sijali nini mnawaza mnaimba, mnajiliwaza/ ndani na filidi masho mlidhani tutanyamaza ...!!!
( Zaharani ft complex - walidhani)
#funguka..
Umemiss nini kutoka kwa Rap marehemu Saimoni sayi " complex"
Ipi Collabo Yako bora kutoka kwa marehemu complex
@ukwaju_wa_kitambo
0767 542 202