Na mke je, alimuuza?hahaaa ndio" hata kule Kenya "" kuna jamaa " aliambiwa" na rafiki yke wa kizungu"" amtafutie "" mke wa kuoa" atampatia " pesa"" jamaa " akaenda kula mchongo na mkewe " akamuoza kwa mzungu " akala cha udalali na hela ya mahari "" ikawa ameuaga umasikini
Ndio hii hii mkuu kwann what is it for?Wapumzike kwa Amani, hivi ID yako ya mwanzo ilikua ipiView attachment 814386
Ndio " alimuuzia mzunguNa mke je, alimuuza?
bamkumbuka sana huyo jembe, tulikuwa tunavuta nae sigara mm embasy yeye sportman hall five pale kwa fund viatu na pia, alikuwa ndaki ya uhandis mitambo ( Mechanical eng)..japo nilimzidi madarsa matatu...
alikuwa mpole sana yule mchaga wa rombo, na kila jumapili lazima tusali nae ibada ya 2 au ya tatu...
Mungu ailaze mahala pema peponi..
Raha ya Milele uwape ee Bwana, Mwanga wa milele uwaangazie, Marehemu wote wapumzike kwa Aman..
Amina[emoji120]
Umepotea njia mkuuBuying/Selling following in bulk daily:
|Hotels.com Gift Card
|Macy's Gift Card
|Apple Store Gift Cards
|Amazon Gift Cards
|Best Buy Gift Cards
|Gamestop Gift Cards
|Target Gift Cards
|Ebay Gift Cards
|Itunes Gift Cards
|Playstation Network gift Cards
|Xbox Gift Cards
|Walmart
|Steam
|Onevanilla
|Nordstorm gift Cards
|Gobank
|Gamestop gift cards
|Google play Gift Cards
|HOME DEPOT GIFT CARDS
|ALIPAY (CNY)
*Rate is negotiated in chat!
*Payment Bitcoin,Litecoin,Perfectmoney,Webmoney.Alipay (CNY)
*If you want exchange with me contact me trough my Icq Whatsapp Telegram.
*ICQ> 721911444
*Whatsapp +372 58946164
*Telegram maxkovnik
*Skype> aarongood25
REGARDS
Aaron
Dotto mzavaInawezekana ila yeye alikuwa mpare msabato nadhani pia alikuwa ni adimin wa jf
Taarifa huwa zinatolewa rasmi na marafiki au uongozi wa jf then wakithibitisha usahihi wa taarifa hiyo wanatoa tanzia humu humu na baadae rip inasomeka mkuuHiv uongoz wa jf wanajuaje mtu kafa?
maana naona profile zao zimeandikwa R.I.P