Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

Hizi simulizi umeokota wapi? unaweza kuthibitisha huu upuuzi
 
Uzi umekubaka_ huna jipya

Ulitakiwa ujipange kwanza

Na ni afadhali hata ungekuwa Atheist ingekusaidia kuwa kama kichaka cha kujificha

Kwenu kuna uharo mwingi kuliko ushuzi huu
 
Wenzenu waarabu walikubali kwasababu malaika aliongea lugha yao haya na wewe mmakonde kipi kimekushawishi?
 
Rejea bible na vitabu vya kihistoria.Abraham hakuwahi kufika Mecca
 
Hapa ndio napata wasiwasi na akili yako, kwa mara ya kwanza Mohammed anatokewa na malaika kibinadamu lazima awe na hofu , kwa hiyo ujumbe kutoukariri ni hofu za kibinadamu
Sifa moja ya Gabriel kila alipokuwa anamtokea mtu neno lake la kwanza ni Usiogope!Rejea bible
Lkn alipomtokea mtume wa Allah hakuna neno lolote la usiogope popote penye quran.Napata mashaka kama yule mzee wa kabali ni malaika ama sheitwan!
 
Hivi unafahamu kutokewa kwa Paulo kuliacha au kuliambatana na mambo gani ambayo yalipita nguvu za kiasili? Kwa Muhammad kulitokea hivyo?
Sijui mkuu ndio maana nimeomba umzungumzie humu ili tupate kujua mengi kuhusu yeye,ila katika pekua pekua zangu nimekutana na hii.


Lets take a look at Paul’s vision as he describes it to various different people of different races.



1. In ACTS 9:3, it is stated that only Paul fell to the ground on seeing the light. Verse 7 says that others with him stood speechless.

2. ACTS 26:14 says they ALL fell to the ground.

3. ACTS 9:7 states that the people who journeyed with Paul didn't see anyone but heard a voice.

4. ACTS 22:9 says that those who were with Paul saw the light but DID NOT hear the voice of the speaker.
 
Mkuu unaweza kulaumu kwamba wakritu tuna vichwa vigumu kuelewa hata sis tunawaona ninyi hivyo. Mfano 'MALAIKA GABLIeli alivyo mkaba Muhammad kulazimisha asome .
Then, ikaweje?
Akajua kusoma hakujua?
 

Sikuwahi soma historia ya Muhammad at least nimefahamu kitu
Ndugu zangu waislam mnaweza saidia kuchangia hapa mtuongezee maarifa sisi ambao hatujamsoma Muhammad
 
Nakubaliana na wewe na ndio maana tunahoji mazingira anamodai Muhammad kupewa utume hayashawishi hata kidogo. Kuwepo kwake kule pangoni pekee na kwenda kwa kasisi Waraqah hakutoshi Kutusadikisha kwamba Mungu aligawa utume katika tukio lile.
mbali na Muhammad kuna mtume au nabii yeyote unaemjuwa?
 
Mkuu umenza vizuri mwisho umeboronga nadhani umekosa maana sahihi .Ukristo ni Jina au kielelezi Kama uislam .
Mkristo ni mfuasi wakristo, sawa mkuu 'hilo ni jina la kupanga tuuuu walilopewa na wapagan wa Antokyaaaaa' ina maana mtoaji wa jina hili ni mpagani na sio mungu.
 
Sifa moja ya Gabriel kila alipokuwa anamtokea mtu neno lake la kwanza ni Usiogope!Rejea bible
Lkn alipomtokea mtume wa Allah hakuna neno lolote la usiogope popote penye quran.Napata mashaka kama yule mzee wa kabali ni malaika ama sheitwan!

Wanamtetea Muhammad kwamba sio lazima Mungu atumie njia ile ile iliyozoeleka. Lakini cha ajabu ni kwamba majibu kama haya yanatoka kwa wale ambao hakutembelewa na Malaika. Ni kwa nini majibu ya mambo mengi yenye ukakasi yanatolewa na wafuasi wake badala ya Kurani kama ilivyokuwa kwa Yesu na Biblia?
 
Rejea bible na vitabu vya kihistoria.Abraham hakuwahi kufika Mecca
1.wana historia wapi- kwa taarifa yako kama ulikuwa ujui Musa(moses) hakuna record yeyote nje ya biblia( vitabu vya kiyahudi) na Quran kuwa aliwai kuishi duniani ,hivyo wanahistoria wanadai habari za Musa ni SOGA tu kwa sababu hakuna archaeological evidence yeyote ambayo inatoa nguvu kuwa Musa ni mtu halisi na sio story ,hivyo usilalie sana kwa hao watu , hata habari Yesu bado wapo wana historia wengi tu pia wanadai ni story tu Yesu akuwai kuwa mtu halisi . Hivyo habari za historia ziache kama zilivyo

2.Biblia haiwezi kuwa kila kitu kwa Quran kwa sababu yenyewe ina makosa mengi hata mahesabu yamekuwa tatizo
NYAKATI 2 22:2
"; Ahazia alikuwa na umri wa miaka arobaini na miwili alipoanza kutawala ; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalem; na jina la mamaye aliitwa Athalia binti Omri";

Tukio hilo hilo angalia hapa
WAFALME2 8:25
"; Ahazia alikuwa na umri wa Ishirini na miwili alipoanza kutawala; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalem. Na jina la mamaye aliitwa Athalia binti Omri mfalme wa Israeli";

Kama biblia yenyewe inatofautiana hata kwenye mambo madogo ya kimahesabu , haijui kuwa 42 sio 22 sass vip kusiwe na utofauti na Quran? hakika Ibrahim ndie mjenzi wa alkaaba hivyo ndivyo Quran inavyosema kwa hakika
 
Sifa moja ya Gabriel kila alipokuwa anamtokea mtu neno lake la kwanza ni Usiogope!Rejea bible
Lkn alipomtokea mtume wa Allah hakuna neno lolote la usiogope popote penye quran.Napata mashaka kama yule mzee wa kabali ni malaika ama sheitwan!
Hakuna ulazima Gabriel kusema usiogope kwa sababu sio SHERIA , muhimu ni kujua kwanini anawaambia wasiogope? ni kwa sababu wana hofu za kibinadamu , ndio maana hata mtume Mohammad alikuwa na hofu kama mtu .
 
Mbona QURAN iko wazi kabisa huko ndio katu huwezi kusogelea kwa mfano , hilo sualaa la kukabwa , ilifikia mahali mpaka mtume akawa muoga kwa Jibril anamuona kama adui , Mungu akamtoa hofu

QURAN 2:97
"; sema; aliyekuwa ni adui wa Jibril , basi huyo ndiye aliyeiteremsha Quran moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa waumini;"

hapa unachotaka utapata hofu ondoa, uislamu huko wazi kabisaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…