Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Uislam ni man made religion brazaMbona QURAN iko wazi kabisa huko ndio katu huwezi kusogelea kwa mfano , hilo sualaa la kukabwa , ilifikia mahali mpaka mtume akawa muoga kwa Jibril anamuona kama adui , Mungu akamtoa hofu
QURAN 2:97
"; sema; aliyekuwa ni adui wa Jibril , basi huyo ndiye aliyeiteremsha Quran moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa waumini;"
hapa unachotaka utapata hofu ondoa, uislamu huko wazi kabisaaaaaaa
Uislam ni man made religion braza
Huku ni kukosa hoja BrazaaaaaaaaaUislam ni man made religion braza
Kwa hoja hizi unaonekana kweli ubado mdogo kudadavua mambo wala huyu Mungu mwenyewe umjuiIkiwa Mungu angalitaka kumfanya Muhammad Mtume na wa mwisho, angalileta mtu ambaye angalifundisha mambo yasiyoacha shaka. Lakini kwa yale tunayoyasoma katika Kurani na Hadithi zake ni dhahiri huyo sio Mungu hata kidogo:
1. Mungu anayewahimiza Waislamu kuwachukia wakristu au Mungu anayewaagiza waislamu wawapige wake zao.
2. Mungu anayekataa kwamba hana Mwana kwa sababu tu hana mke, wakati ana uwezo wote Wa kufanya jambo lolote.
😂😂"Uwiano wa kimahesabu katika quraan ni mwingi sana ni wa kushangaza na pia uko juu sana ya akili za kibinaadamu( muujiza"
Kama uwiano Wa kihesabu katika Kurani ni mwingi sana na unazidi akili zenu ina maana ni mambo ambayo hayaelezeki. Sasa kama hayaelezeki wewe unajifunza nini na unafaidikaje?
Pia alikuwa womanizerMahatma Ghandi hajawahi kuwa rafiki WA mtu mweusi na alimuona mtu mweusi kama kiumbe kisicho na thamani,soma mkuu