Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

Kuna watu wanasema Gandhi alitumia mbinu ya kuwaambia wanye hovyo hovyo wahindi kama strike kuwachukiza waingereza wawape uhuru
Kuna ukweli?
 
Kuna watu wanasema Gandhi alitumia mbinu ya kuwaambia wanye hovyo hovyo wahindi kama strike kuwachukiza waingereza wawape uhuru
Kuna ukweli?

Yawezekana ikawa kweli au kumpaka matope tu. Kwani kama ndivyo wahindi walikuwa wanakunya kwenye makazi ya waingereza au wapi hasa hata waingereza wakereke?
 
Karibu sasa kwa mjadala.


Kabla sijazama kwenye mjadala nilitaka kujua kama nipo sahihi kurekebisha kichwa cha habari.

Kwa maana level ya utume unamaanisha ile iliyotabiriwa ktk vitabu vitakatifu kama taurati, zaburi, injili na Quran

Au

Ni ule unaopatikana kwa pale RITA wa akina KAKOBE, MZEE WA UPAKO, na yule alitekuwa yule kawe.

Nikupongeze for your content than and less context.

Na nimalizie kwa hoja ya kimantiki sawa na kauli ya Mmoja wa mdau hapo juu:-
Tafsiri ya wakristo UTUME inaweza ikawa rahisi kuupata kuliko UASKOFU!

kwa upande wa UISLAM utume unatoka Kwa Mwenyezi mungu na maandiko yanasema UTUME umefungwa.
 


Utume unaojadiliwa hapa ni ule unaochorwa katika Torati,Zaburi, na kadhalika na sio ule Wa akina Kakobe na wale wenye muelekeo kama huo.

Mintarafu utume kama huo kufungwa uliishia kwa nani na unaweza kutupatie vielelezo?
 
uzi wako mzuri sana umejitahidi kwa kiwango chako ila kuna machache nataka nikujuze kuhusu Mungu, Uislam na binadamu kama ifuatavyo;
1) M/Mungu ndio anaetoa utume na unabii sio binadamu, kwa hiyo hao kina Madiba na Mahatma hawawezi pewa utume na watu na tukaupa sifa ya utume.
2) utume na unabii unatokana na wahayi (kupewa ujumbe na Mungu kupitia malaika), kama unakaa na mkeo ukajipa utume huo ni wako sio wa M/Mungu.
3) M/Mungu hana mtoto wala hajazaa(biological)
4) tunaposema Masihi ni mwana wa Mungu tuna maana ni mtoto Mchamungu aliye mbali na matendo ya kishetani sio mtoto aliezaliwa na mungu. tukisema msikiti ji jumba la mungu tuna maana ni jengo la ibada takatifu ya Mungu na sio kwamba limejengwa na Mungu.
5) ulimwengu ulianzia kwa waarabu ila dunia ilianza pamoja hivyo machafu mengi yakifanywa na watu hao ndio maana mitume wengi walishushwa huko, kama leo hii mashoga tunawalaani na kumpongeza Makonda lakini tambua huko watu walibashiana mchana kweupe, enzi hizo kulikuwa na ubabe sana na madanguro kibao etc kwa hiyo ujio wa Mtume Muhammad ndio ulikuwa suluhisho. leo hii mwarabu na ukatili huu aliokuwa nao je kabla ya dini alikuwaje?
6)utatu mtakatifu ni wa kufoji tuu kama lilivyo jina lenyewe la ukristo. UKRISTO sio dini ni chama kama kilivyo vyama vingine.
7)umeorodhesha yaliyofanywa na Yesu kama vile kufufua ila yaliyofanywa na Mtume hujayaonesha huenda hujuwi au unajuwa ila ni kusudi.
8)Nyerere, Mandela na Gandh hawana sifa za kuitwa mitume kwa sababu utume hautolewi na binadamu kulingana na Imani ya Kiislamu ila kwa kuwa Ukristo unagawa tu utume basi wapeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…