Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

Sasa ulichokifanya kinachoonesha ukomavu hapo ni nini.?

Wivu unakusumbua bure

Wivu kwa viashiria vipi Mkuu? Kwani umesikia nami ni Mtume hata niwe na wivu? Au kuna neno jingine ulikusudia kutumia badala ya hili?
 
Kwa uelewa wangu neno mitume linapatikana Zaidi kwenye biblia agano jipya na nimelikuta kwa mara ya kwanza kwa wale Mitume 12 aliowachagua Bwana wetu Yesu Kristo kisha alipokufa Yuda nafasi ikachuliwa na Mathias
nao ni (Kama kwenye agano la kale kuna Mitume naweza sahihishwa pia-huko kuna manabii)
 


Kwa hiyo, Muhammad kujiita na kuitwa Mtume ni katika mkururu Wa u-fake?
 
Wivu kwa viashiria vipi Mkuu? Kwani umesikia nami ni Mtume hata niwe na wivu? Au kuna neno jingine ulikusudia kutumia badala ya hili?
Viashiria vya wivu

1.Nyakati aliyoishi muhamad hailingani na ya hao rafiki zako_mizani imefeli

2.Wasifu mreefu umeutumia kwake kuliko kwa hao rafiki zako uliotumia kwa hila kusindikizia habari yako_ni kuonesha kiasi gani yeye ndiye habari kuu

3.Mpaka sasa yeye ndiye hoja ya maulizo kwako katika komenti zote za wachangiaji_wale wote uliowaweka pamoja naye washasahaulika

4.Hii sio nyuzi ya kwanza kwako kumchimba yeye_Inaonesha ni kiasi gani anakunyima usingizi wakati kashajifea

Bilashaka wewe utakuwa mtume tu
 


1. Kwani yeye aliishi nyakati gani ya kipekee kulinganisha na wenzie?

2. Suala la Muhammad kutawala mjadala kunatokana tu na kwamba ufunuo wake(Wayhi) unaelea. Ni ufunuo unaokosa ushahidi Wa kutosha mbele ya jamii.

3. Kujifia hakumaanishi ndio mtu impact yake inatoweka au kwamba asijadiliwe kabisa.
 
Zurri Jana ulinifuata inbox. Mjadala sasa uko hewani. Yale Maswali yako yote nadhani hapa yamejibiwa. Karibu tubanguane kihoja.
 
Quran inayosha kuthibitisha madai hayo kuwa utume hauendelei. Lkn kabla sija kuthibitisha huenda ukawa si mwenye kuiamini Quran kuwa ni kitabu cha Allah, hivyo inanilazimu hapo kwa uchache kwa ushahidi wa kisayansi kukuthibitishia hilo.

Hebu pitia hii link kama itakuridhisha

Proof Quran is the Word of God | Submission.org - Your best source for Submission (Islam)

Sasa nikirudi kwenye swali lako kuwa utume uliishia kwa nani. Jibu ni ktk Quran, surat Ahzab
— The Qur'an - Chapter 33 Verse 40
Muhammad is not the father of any of your men, but (he is) the Messenger of Allah, and the Seal of the Prophets: and Allah has full knowledge of all things."



Utume unaojadiliwa hapa ni ule unaochorwa katika Torati,Zaburi, na kadhalika na sio ule Wa akina Kakobe na wale wenye muelekeo kama huo.

Mintarafu utume kama huo kufungwa uliishia kwa nani na unaweza kutupatie vielelezo?
 

Kwanza nakukosoa juu ya majukumu ya mtume amani ya Allah iwe juu yake. Mtume alisimamia masuala yote ys imani,jamii na mfano wake.

Mtume aliunganisha koo,kabila na undugu kwa ujumla.

Mtume alikuwa kiongozi,mtume alikuwa mpiganaji wa vita.

Mtume alikuwa haongei kwa matamanio yake isipokuwa wahayi kutoka kwa Allah.

Lakini swali kwanini umuweke kundi moja na watu hao ? Hali ya kuwa humjui nani unayemlinganisha na hao ?
 

Naona umezungumzia Taamul ukaibabatiza maana ya meditation. Katika Uislamu hakuna meditation na mtume hakufanya meditation. Sasa nakuuliza swali wewe hili suala ya Taamul kuipa maana ya meditation umeipata wapi ?
 

Bro ndio maana nilikwambia mtume Muhammad humjui.

Mpaka sasa hujajibu maswali yangu niliyokuuliza inbox.
 
Je,tuwaweke katika kapu moja la Utume?

Bro unafikiri utume unasomewa au unapewa na mtu au kama nyanya dukani na mfano wake ?


Kwanini hutengi muda ukaamua kusoma na kujifunza kuliko kuweka mada na kutaka mijadala na kupoteza muda ?
 
Utume unaojadiliwa hapa ni ule unaochorwa katika Torati,Zaburi, na kadhalika na sio ule Wa akina Kakobe na wale wenye muelekeo kama huo.

Mintarafu utume kama huo kufungwa uliishia kwa nani na unaweza kutupatie vielelezo?

Hichi ndio kituko ninacho kiona kwako mara kwa mara. Wewe ndio ulisema unamjua Muhammad na Uislamu,halafu unauliza swali tena upewe vielelezo vya kufungwa utume ? Hili katika adabu za kielimu halipo.

Na kujadiliana na wewe ni kupoteza muda.

Kabla ya kuleta mada yako ulitakiwa uulize kwanini mtume Muhammad amekuwa mtume ? Na ungetenga muda umsome vizuri.
 
Jifunze kusoma na kuelewa maudhui ya mada. Kama uweledi huo haunao jibidishe. Wewe unafikiria hao uliowataja mimi siwajui?
Unawajua sana. Na wewe usihodhi tafakari yangu. Wewe umewaacha hao PAULO na YESU kwa sababu unawaona bora na holy na class nyingine tofauti na MUHAMMAD ambaye umemuweka daraja moja na wakina MANDELA.! Lengo lako ni kashfa tu ..bla bla nyingine zote ni unafiki. MUHAMMAD ana followers 1.8 Billion people unamfananishaje na Mandela? Upuuzi tu!
 
Mahatma Ghandi hajawahi kuwa rafiki WA mtu mweusi na alimuona mtu mweusi kama kiumbe kisicho na thamani,soma mkuu
kweli mkuu,jamaa alifanyia kweli makubwa india ila ukiwa uliza wale wahindi weusi watakupa ukweli jinsi alivyowatenga na kuwabangua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…