Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?



DODO, YESU SI MUNGU.

Mjadili tu na yeye.

"Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, MTU ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo."

Yohana 8:40

Katika andiko hilo YESU kwa kinywa chake yeye mwenyewe amejiita kuwa ni "MTU". Kama kuna mtu ana ushahidi wowote katika biblia YESU akijiita MUNGU, basi nami hapo nitaamini kuwa YESU Mungu.

Hata hivyo, mnaweza kusema pia, kuwa YESU alikuwa Mungu na Pia alikuwa mtu. Hata hivyo tukitazama sifa mbalimbali za mungu kama zilivyo tajwa au ainishwa na biblia, utaona hata kiduchu YESU hana sifa hizo.

Mathalani.

"Mungu si mtu, aseme uongo; Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza.."

Hesabu 23:19

Tumeona katika Yohana 8:40 Yesu akijiita Mtu, na hapa katika hesabu tunaambiwa Mungu si mtu, sasa wewe unayemuita Yesu Mungu umepata wapi?

NANI KAFUNDISHA YESU NI MUNGU?

"tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; "

Tito 2:13

Hayo maneno katika kitabu cha Tito, kimsingi ni barua ya kimisionari aliyo andika Paulo kwa watu wa Tito, kama tuonavyo katika barua hiyo, pamoja na mambo mengine Paulo anawaambia watu wa Tito kuwa Yesu ni Mungu Mkuu, maneno haya ya Paulo yanakwenda kinyume kabisa na maneno ga Yesu mwenyewe aliyo yasema katika Yohana 8:40 lakini kinyume kabisa na mafundisho ya kinabii kutoka katika kitabu cha Hesabu 23:19.

YESU ANASEMAJE KUHUSU PAULO?

Awali ya yote Paulo hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Yesu na hakuwahi kumuona Yesu Kristo. Yesu kabla hajapaa kwenda mbinguni aliwahi kusema maneno haya.

"Maneno hayo nimewaambia, msije mkachukizwa. Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada. Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala mimi"

Yohana 16:1-3

Hapa Yesu anatabiri kuwa wanafunzi wake watakuja kuuliwa, anatabiri wakristo na wafuasi wa kanisa lake watakuja kuuliwa, na akasisitiza huyo atajaye wauwa wanafunzi wake hamjui yeye wala Baba(Mungu)

Nani huyo aliyeua wanafunzi wa Yesu? Jawabu ni Sauli ambaye ni Paulo.

"Lakini Sauli, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea Kuhani Mkuu, akataka ampe barua za kuenda Dameski zilizoandikwa kwa masinagogi, ili akiona watu wa Njia hii, waume kwa wake, awafunge na kuwaleta Yerusalemu."

Matendo 9:1-3

Kwa hivyo Mtu aliyetajwa na Yesu katika injili ya Yohana 16:1-3 kuwa atawaua wanafunzi wa Yesu si mwingine Paulo, na katika kitabu cha matendo tunaoneshwa ukatili wa Paulo kwa wanafunzi wa Yesu. Hata hivyo, Bwana Yesu anaendelea na utabiri wake juu ya Paulo katika aya hii.

"Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo"

Yohana 8:44

Katika aya hiyo Bwana Yesu anasema huyo Paulo si kwamba ni muuaji tu, lakini pia mtu muongo sana. Na uongo mkubwa alio ufanya Paulo ni pale aliposema kakutana na Yesu na kisha akajifanya kipofu.

"Hata alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni. Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi? Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe. Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda"

Matendo 9:3-7

Baaada ya Paulo kuwaua sana wanafunzi wa Yesu na kuwatesa sana ili waache mafunzo ya Yesu, lakini wanafunzi wa Yesu waligoma na walikataa katakata kuachana na mafunzo Yasu. Pia naomba mjue, mafunzo ya Yesu yalikuwa mwiba kwa serikali(Dola ya Rumi) na Paulo alikuwa anatumiwa na serikali katika kuhakikisha wanafunzi wa Yesu wanaachana na ukristo/uyaudi.

Pamoja na juhudi hizo za Paulo lakini alishindwa, hivyo njia aliyo amua kuitumia si nyingine bali ni kujiunga na wanafunzi wa kristo. Na ili aaminike ndipo hapo alipotengeneza stori ya kumuona Yesu na maagizo ya upofu, lakini kubwa zaidi alimnunua Anania ili msaidie kufanikisha lengo lake. Kwa kumtumia Anania na kwa kudanganya kwake kuwa kamuona Yesu, wanafunzi wa Yesu walimkubali.

Na hapo ndipo Paulo alipoanza kuyachakua mafunzo ya Yesu, na ndio maana ukristo wa sasa si ule alio ufundisha Yesu.

YESU NA MFARISAYO.

"Ewe FARISAYO KIPOFU, safisha kwanza ndani ya kikombe, ili nje yake nayo ipate kuwa safi. Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, nayo kwa nje yaonekana kuwa mazuri, bali ndani yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote."

Mathayo 26:23

Paulo msomi mkubwa alikuwa Farisayo, lakini Yesu alisema nini juu mafarisayo? Kama tulivyo ona, Yesu anawaona mafarisayo kama vipofu, lakini kubwa katika andiko hili Yesu anamtabiri pia Paulo na maigizo yake ya upofu.

"Paulo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Masadukayo, na sehemu ya pili ni Mafarisayo, akapaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo mwana wa Farisayo; mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu"

Matendo 23:6

Kwanza Paulo amekiri kwa kinywa chake kuwa yeye ni farisayo. Lakini hiyo haitoshi Paulo alijitia upofu aso kuwa nao.

"Sauli akainuka katika nchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu; wakamshika mkono wakamleta mpaka Dameski. Akawa siku tatu haoni; hali, wala hanywi."

Matendo 9:8-9

Katika aya hizi tunaona kuwa Paulo amekiri kuwa Farisayo lakini pia tunaona Paul yuko katika maigizo ya upofu. Yote haya mawili yanakamilisha unabii wa Yesu pale aliposema

"Ewe farisayo kipofu.."

Mathayo 26:23

Katika aya hizo inatajwa sifa kuu au tabia kubwa ya Mafarisayo, na ambayo imethibiti(ilitimia) kwa Paulo. Sifa hiyo si nyingine bali UNAFIKI.

Paulo alikuwa mnafiki, yaani alijifanya muumini wa mafundisho Yesu ili mradi apate kuwapotosha wanafunzi wa Yesu, na hili kwakweli kafanikiwa sababu hakuna hata kanisa moja ambalo linafuata mafunzo ya asili ya Yesu. Kila kanisa lina kituko chake.

MWISHO.

Kwa kifupi huku nikizingatia maelezo yangu yote ya huko juu, kuwa YESU SI MUNGU, lakini hakumaanishi kuwa hakuna wanao muita au wanao amini Yesu Mungu. La kuzingatia kama tukiambiwa kauli ipi ya kushika kati ya YESU mwenyewe na ya Paulo kwa vyovyote vile tunatakiwa kushika kauli ya Yesu.

Kauli zote za Paulo ambazo hazipingani na za Yesu, kauli hizo tutazifuata, lakini kauli yoyote ya Paulo inayo pingana na Yesu, kauli ya Paulo itapuuzwa na kuanguka, alafu watu wote wanatakiwa wafuate kauli ya Yesu.

Hakuna kauli ya Yesu anayo alijiita Mungu, lakini zipo nyingi akijiita Mtu au mwana wa adamu. Na siku zote alijitafautisha na Mungu. Yesu anakata mzizi wa fitina katika andiko hili.

"Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma"
Yohana 17:3

Nasema YESU SI MUNGU, na Paulo ana kesi ya kujibu kwa kudanganya ulimwengu, na kwa kuharibu mafundisho ya Yesu na kubwa zaidi kwa kuwatesa na kuwaua wanafunzi wa Yesu na wafuasi wake.

Katika kuendeleza urongo wa Paulo, watu wameambukizwa urongo, sasa wanatusambazia picha na sanamu za wacheza sinema na kisha wanataka tuziheshimu kama Yesu, kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

TUJADILI!

C & P From:-

Dotto Rangimoto Chamchua(Njano5)
Call/whatspp 0622845394 Morogoro.

C & P From
 
Si somo la siku moja kama unavyofikiria kuwa ni kucopy na kupaste.

Kwa hiyo,nimeelewa kwamna hata wewe toka uanze kuzisoma hujamaliza na kwa hiyo hakuna bado hujui au hakuna jambo la maana linalohusiana na mjadala huu.
 
Aisee kama hufahamu Sila ni nini, basi hakuna mantiki ya Kuja mbele za watu kisha ukadai Unamjua Mtume Muhammad.

"Sila" ndio maelezo na ushahidi Wa jinsi Malaika Gabrieli alivyomtokea Muhammad pangoni na kumpa utume?
 
Kwa maelezo haya ina maana wewe hizo rejea unazonipatia mimi umezisoma. Kwa nini usizitumie kujibu hoja za mjadala huu?
"Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma"
Yohana 17:3

YESI SIO MUNGU.
 
Kwa hiyo,nimeelewa kwamna hata wewe toka uanze kuzisoma hujamaliza na kwa hiyo hakuna bado hujui kama kuna jambo la maana linalohusiana na mjadala huu.
Hakuna jambo la maana, ndio maana hakuna mtu aliye serious kukujibu majibu ya maana. Huu ni ushauri tu ikiwa unania ya kujifunza na wala si ufunguo wangu wa kuingia kwenye mjadala wako.
 
Sila ndio maelezo na ushahidi Wa jinsi Malaika Gabrieli alivyomtokea Muhammad pangoni na kumpa utume?
Mkuu kausome uislam kwanza
Kausome uelewe vizuri. Tena uusome ukiwa free minded kama unavyousoma ukatoriki
 
Heshima kwako Mkuu @sanctusanaclet
Hakika Umeutendea Haki Uzi Huu.

Kwa kupitia Uzi Huu Wote Hata Na Mimi Nabaini Hao Wote Uliowazungumzia Ni Wanaharakati Tu.

Kwa Uelewa Wangu Hapo Hakuna Nabii Wala Mtume Hao Wote Ni Wanaharakati Walioleta Michango Mikubwa Katika Mifumo Ya Maisha Ndani Ya Jamii Zao Kwa kipindi Walichopo Na Hata Mpaka Sasa Na Kuendelea.

Shukrani Sana Kwa Uzi Huu Kwa Kupitia Ninyi Jamii Ya Sasa Na Zijazo Zitaweza Kun'gamua(kutofautisha) kati ya Wanaharakati Na Mitume Pamoja Na Manabii Kutoka Kwa Muumba Wa Mbingu Na Nchi.
 
Aisee kama hufahamu Sila ni nini, basi hakuna mantiki ya Kuja mbele za watu kisha ukadai Unamjua Mtume Muhammad.
Bwege tu huyo.
Tukianza kuwaweka watupu hapa, wataanza kupiga kelele.
WAtu gani wasioweza kutumia aliki zao katika kutafakari.
Watu wanaowasujudia watu wenzao, na kibaya zaidi ni watu mapunguani wanaosujudia masanamu.
Eti hili la Yesu, eti hili la Bikira Maria.

Watu wanaamini ya Paulo, badala ya kuamini ya kutoka kwa Yesu mwenyewe.

"Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma"
Yohana 17:3
 
Mkuu kausome uislam kwanza
Kausome uelewe vizuri. Tena uusome ukiwa free minded kama unavyousoma ukatoriki
Muelimishe Mkuu, hao wengine ni mambumbumbu. Mpe elimu imsaidie.
Vinginevyo wana ubongo wa-matope hao, leo wanakataa kesho wanakubali.
 
Hakuna jambo la maana, ndio maana hakuna mtu aliye serious kukujibu majibu ya maana. Huu ni ushauri tu ikiwa unania ya kujifunza na wala si ufunguo wangu wa kuingia kwenye mjadala wako.

Nisaidie watu serious uliotarajia wachangie.
 
"Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma"
Yohana 17:3

YESI SIO MUNGU.

Sio hoja ya Leo. Jibandike kwenye hoja zipatazo 20. Hii ya Yesu sio Mungu tutaijadili siku nyingine.
 

Kwa faida ya wengine wanaohitaji ufahamu zaidi ni kuwa ushahidi huu wa kisayansi umesimamia ktk sayansi ya hesabu. Maana ktk hesabu 1+1+1=3 ni ushahidi ya kisayansi. Lkn 1+1+1=1 huu ni ushahidi wa kibubusa.

Quran inathibiti kuwa ni Maneno ya MwenyeziMungu kwakuwa haiwezi kuongezwa, kurekebishwa wala kupunguzwa. Na ukweli jaribu kufanya hivyo utashindwa ukiwa ktkt ya safari yako. Sababu moja wapo ni kuwa Quran kama muujiza inakuwa namba 19.

Namba 19 ina maana gn ktk Quran?




  1. Aya ya kwanza ni neno (1:1), "Bismalah" kina herefi 19 herufi za kiarabu.
  2. Quran ina surah (chapters 114, ambazo zinagawika kwa (19) kwa maana 19* 6=144
  3. Quran ina ayah 6346, inagawanyika kwa (19)x334 =6346
  4. is the total of 6346 ni sawa na ukizijumlisha 6 + 3 + 4 + 6 = 19
  5. Wahayi (Maneno ya MwenyeziMungu) ya kwanza kuteremshiwa mtume hapo ktk surah ya (96:1-5) Ni Maneno 19 na herufi 76 ambayo kwayo inagawanyika kwa (19) x 4.
  6. Surah ya kwanza kuteremshwa na kukamilika ni (surah 96) INA aya 19 na herufi za kiarabu 304 hii ni sawa na (19 x 16)
Sasa kama wewe huitaji huu ushahidi unaoendana na karne tuopo ya sayansi bali Quran inakupa challege ktk surah ya
Baqarah 2:23
And if you are in doubt about what We have sent down upon Our Servant [Muhammad], then produce a surah the like thereof and call upon your witnesses other than Allah, if you should be truthful.

kama mtume aliiandika tu yeye Quran kama kalamu za waandishi zilizoiingizwa kwenye bibilia, na kukifanya kuwa ni maandiki yenye maslahi Kwa watu weupe,

basi wewe jaribu kuiandika Quran na aya zako hizi ziwe verified Kwa no 19.

Luka 1:1

need u say more...
 


Ndio Kisa tunawaelimisheni kwamba Imani lazima iendane na Elimu au kufikiri. Nje ya hapo,ni kuendeleza Yale Yale ya Muhammad kupanga,kuratibu na kisha kutekeleza mauaji ya watu wasomi waliokuwa wanajitokeza kumpinga kwa kumpasukia wazi wazi kwamba kile alichokuwa anadai ni ufunuo(wahyi) au Kurani ilikuwa si chochote isipokuwa udokozi Wa Kazi za kitaaluma za watu wengine.

Nimekueleza haya kwa sababu unaonekana umesoma mada hii lakini umeshindwa kufahamu maudhui ni nini na umeshindwa kufahamu hoja zinazohitajika kujibu mapigo. Hebu jitahidi sana kukazania suala la Shule. Nina imani ukizingatia utafika mbali.
 

Hivi unaelewa unachokieleza? Hii ndio tabu ya kutokuweni watafiti. Hata kama majibu haya ulipewa ingefaa basi nawe utafiti maana ya Namba 19. Namba 19 ni nini na inamaanisha nini kati ya namba zote ambazo ni indefinite? Hebu tueleze:

1. Namba 19 ndiye Mungu au nini hasa hata uwehuke kiasi hicho kwa kuona tu hesabu zako zinaleta hiyo namba?

2. Namba 19 ndio Dunia? Namba 19 ni hewa ya oxygen?

3. Namba 19 ni Ardhi?

4. Niambie namba 19 ni Moyo,mapafu,figo au miguu na mikono ya mwanadamu?
 

No 19 is VERIFICATION CODE period
 

Ni heri kuwa bwege Wa kipato kuliko kuwa bwege Wa kifikra. Muhammad alipata tabu sana kwa watu ambao hawakuwa mabwege Wa kifikra na alipoona hawezi kuwafanya wafuasi wake kwa hoja akakimbilia kuwaua. Njia pekee uliyobakia nayo na ya uhakika kumunasua Muhammad kwenye kundi la Wanaharakati ni kueleza beyond reasonable doubt jinsi alivyopata utume wake. Ueleze pasipo mashaka kule pangoni kilimpata kitu gani hasa? Je,ilikuwa ni lazima tu Mungu aonane naye pangoni? Kwani Mungu anaishi Pangoni?
 


We ulitaka aonane nae msalabani, pale mnapodai kuwa alisurubiwapo?

MBona alimwita alishindwa kuja kumuokoa.

Acha ujinga wewe muabudu masanamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…