Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukwel ni huu hapa, endapo bodi ya mikopo imelipa fedha za kukava hata fedha ambayo ulshalipa unaweza kuongea na wahusika ukarudshiwa pesa ako japo kuwa inategemea na chuo na usumbufu wao lkn inawezkana kukurudishia endapo iyo fedha itakuwa haina cha kulipa endapo inachakulpa unaweza kuihamisha ikalipa kitu kingine kikubwa ni ufatiliaj wako na uelewa bursa tu, mimi nimeshashudia ktk chuo nlichosoma