Marejesho ya malipo ikiwa appeal itakubaliwa na HESLB

JfBro

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
587
Reaction score
160
Naombeni msaada kuhusu hili swala kwa mfano mtu aliyekosa mkopo kabisa akalipia garama zote za chuo za mwaka mzima alafu akaja ku appeal mkopo na akapata vipi chuo kinamrudishiaa pesa zake au inakuaje wakuu. msaada yakinifu please
 
Hakuna kitu ka hiyo...ukikosa mkopo hata uki-appeal ukaja kupata gharama ulizotumia ndo imetoka hivyo chuo hakihusiani na kupata au kukosa kwako pesa, mi nina experience na hilo...so kama umekosa sahivi ukaja kupata badae mshukuru Mungu wako manake kuna wengine wanamaliza chuo mkopo hawapati.
 
Ukwel ni huu hapa, endapo bodi ya mikopo imelipa fedha za kukava hata fedha ambayo ulshalipa unaweza kuongea na wahusika ukarudshiwa pesa ako japo kuwa inategemea na chuo na usumbufu wao lkn inawezkana kukurudishia endapo iyo fedha itakuwa haina cha kulipa endapo inachakulpa unaweza kuihamisha ikalipa kitu kingine kikubwa ni ufatiliaj wako na uelewa bursa tu, mimi nimeshashudia ktk chuo nlichosoma
 
mimi.nimelipa ada yote ya mwaka mzima sasa sijui kama nikipata mkopo baada ya appeal chuo kitanirudishia ada yangu niliyolipa saivi
 

mm.nimelipa ada yote kabisa kwaiyo nikipata mkopo haistahil kubak ata mia kwa ajil ya malipo yeyote ya chuo je watanpa hela yangu yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…