TANZIA Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi

This man was so smart, alimpigia sana campaign trump hasa vyuoni sijui kwanini wamemuua hao wahuni.
 
Alikuwa ni kijana mwenye upeo mkubwa kwenye eneo alilochagua kulitumikia....
Alikuwa mjenzi mzuri hoja na mwenye kuisimamia hoja kwa kadri ya upeo na ufahamu wake
Kupitia mjadala yake na speeches zake unaweza kuona namna gani alikuwa smart......

Pole kwa familia na jamii ya watu wa Marekani waliokuwa wakimuunga mkono!!
 
Duh!! 90% ya comments za Americans zinaonyesha walikuwa na chuki nae kutokana na misimamo na maoni yake...
Sasa wewe hii akili yake ni ya wapi!?
Kijijini kwenu...?
Kwa hiyo hiyo 90% ya maoni ya Americans ndio yanapaswa kuoa muongozo wa akili yake kwenye kutoa maoni yake.....??

Kwa hiyo wewe akili yako inafanya maamuzi kutokana na maoni ya wengi au kutokana na fikra zako baada ya kutafakari.....???

Kwa hiyo ni dhambi kuwa na mtazamo tofauti kutoka kwenye maoni ya walio wengi...??
 
Kuna aina za topic alizokua anatetea neno "smart" kutumika inalets ukakasi sana
 
Kuna aina za topic alizokua anatetea neno "smart" kutumika inalets ukakasi sana
Neno "Smart" wewe ndio umelielewa vibaya lakini hata magaidi, majambazi na vibaka lazima wawe "smart" ili kukamilisha mipango yao.....

Neno"Smart" sio kumkweza mtu bali ni kuonyesha kuwa mtu huyo anajua nini anachokifanya kutokana na makusudio yake!!

Hilo suala la ukakasi ni inatokana na wewe nafsi yako inavyoamua kupokea anachokifanya
 
View: https://x.com/VividProwess/status/1965913115239002346
 
Duh!! 90% ya comments za Americans zinaonyesha walikuwa na chuki nae kutokana na misimamo na maoni yake...
Sasa wewe hii akili yake ni ya wapi!?
Kijijini kwenu...?
Labda 90% ya Waislamu wenzio na wapumbavu wa Kikomunisti
 
Ni ngumu kusema nani wakina wameamua kumuondoa jamaa ila ni hatari sana kutaka kuangusha mifumo ya kimtazamo. Mfano kundi kama la LGBTQI hao jamaa sio wadogo kabisa. Bado makundi ya kidini na wale wa kilatino
 
LGBTQI ni watu hatari sana, Hususani kama unapinga dhana zao wazi wazi.
Hawashindwi kukutoa uhai.
Wako tayari ku deal na yeyote atakae jaribu kuwaleta chini katika mambo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…