TANZIA Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi

All angles πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Your browser is not able to display this video.
 
Trump ni mwendawazimu kama aina hii ya watu ndio walimpigia campaign basi ni mwendawazimu mwenzake​

View attachment 3469370
Hakuna aliyesema he was perfect, aliunga mkono vifo vya watoto Gaza n.k ila kwa alichokiamini yaani right wing conservatism alikitendea haki. Ali mobilise sana vijana kwa kuwapigia simu mtu mmoja mmoja ili wakapige kura. That was a lot of sacrifice
 
Hakuna aliyesema he was perfect, aliunga mkono vifo vya watoto Gaza n.k ila kwa alichokiamini yaani right wing conservatism alikitendea haki. Ali mobilise sana vijana kwa kuwapigia simu mtu mmoja mmoja ili wakapige kura. That was a lot of sacrifice
Mtu hua anaangaliwa pande zake zote mbili,
Kwa wanaomuangalia kwa mabaya yake wapo sahihi,na wewe unayemuangalia kwa mazuri yake,unaweza ukawa upo sahihi pia,
kila mtu na mtazamo wake,

Huwezi kuwashawishi watu wote wakawa na mtazamo wa aina moja kwa mtu mmoja,

Hata Hittler wapo wanaosema alikua mtu mzuri na wapo wanaosema alikua mtu mbaya.
 
We pambana na yako bana...
Yao tuwaachie wenyewe
 
Yeah lakini haimaanishi ukiwa na mtazamo tofauti na mtu basi ndio inakupa uhalali wa kwenda kumuua
 
Duh!! 90% ya comments za Americans zinaonyesha walikuwa na chuki nae kutokana na misimamo na maoni yake...
Sasa wewe hii akili yake ni ya wapi!?
Kijijini kwenu...?
Ukiwa na akili watu hawawezi kukuchukia au wote wanaochukiwa huwa ni vilaza?

Kirk alikuwa smart, huwezi enda naye kwenye mijadala ukamshinda kizembe na alikuwa anashindana na mitazamo tofauti kama mashoga, magaidi, msimamo wa kumiliki silaha, kuunga mkono operations za Israel, BLM, kupinga talaka za kiholela, kupinga ngawanyo mbovu wa mali baada ya talaka unaoonea mwanaume, na mambo kadhaa. Ni wachache sana wanaokubaliana nae kwa kila kitu, ila ni wachache wanaompinga kwa kila kitu.

Huwezi influence watu ukawashawishi wachague, ukaitwa midahalo vyuoni na televisheni kubwa, ukabishana na watu kwa hoja kama wewe ni kilaza.

Kwenye hii dunia huwezi fanya jambo lolote jema au baya ukiwa mbumbumbu. Hata Osama bin Laden alikuwa smart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…