The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
JF is an open forums,sidhani kama mtu kucheka anakua amevunja sheria yeyote ile ya JF,The Icebreaker mtu akinitukana huwa unafurahi.
Its very strange popote pale mtu anaponi-quote kwa kashfa, lazima uone na reaction yako ni ileile ya kufurahi. Huwa ni organic au kuna mbinu za ziada unatumia.
Nimehuzunika jamaa alikuwa ana akili kubwa sana, Mungu ampumzishe pahali pema
Stori za vijiweniHata hao watu weusi wa US unaowatetea usisahau na wao wanachukia Waafrika
Kwa hiyo usijione mjanja sana kusherehekea kifo cha Charlie Kirk
Research ya nini? Nmekua nikifuatilia podcast za Charlie kirk kabla hata hujabalehe... hasa akihoji "who is a woman" alikua akipinga "woke-ism". Ni right wing Conservative so wengi ni evangelical, wanasupport gun ownership, wanapinga immigration, wanapinga same sex marriages na transgenders. So basically anachoamini Charlie kirk ndio anaamini trump, candace owens, Peter Bet David wa valuetainment, na Conservative podcasters wote.Shida hata hamjatake trouble kuona alikuwa ni nani...alisema nini...alikuwa na mtizamo gani!?
Mnajibujibu tu.
Em do the research. Mi nlikuwa simjui ila nimemaliza bundles kumsoma..
Kwa mtizamo wake na maneno ambayo alkwisha ongea hapo awali, asingeweza ishi America.
Do the research p'se
Kamtukana mweusi gani ?Cha ajabu hapa kuna mijitu meusi pye, na nywele za kipilipili na li pua likubwa eti anasikitishwa kufa kwa huyu mbwa aliekuwa anatukana watu weusi wa US,
Hamna usmart wowote. Conservatives wengi ni vilaza waliojaa chuki. Akili zao zimejaa miconspiracy. Wengi wao hupata aibu. Kama huyo candace na madai yake dhidi ya Rais wa Ufaransa. Au jinsi Tucker alivyofurumushwa Fox News kwa aibu.Research ya nini? Nmekua nikifuatilia podcast za Charlie kirk kabla hata hujabalehe... hasa akihoji "who is a woman" alikua akipinga "woke-ism". Ni right wing Conservative so wengi ni evangelical, wanasupport gun ownership, wanapinga immigration, wanapinga same sex marriages na transgenders. So basically anachoamini Charlie kirk ndio anaamini trump, candace owens, Peter Bet David wa valuetainment, na Conservative podcasters wote.
Wewe ndio umemjua baada ya kifo kwa kuangalia cherry-picked videos za legacy media ila hauna picha kubwa ya jamaa. He's smarter than you expect
Mpaka naandika ni observationa ya pattern. Hata jana umefanya hivihivi, na mara kadhaa nyuma.JF is an open forums,sidhani kama mtu kucheka anakua amevunja sheria yeyote ile ya JF,
Nimeicheka comment,kwanza wala hata sikua nimeangalia aliyejibiwa ni nani,imebidi niscroll up ili kuangalia aliyejibiwa alikua ni nani.
Akili kubwa ya ku support ukandamizaji wa Israeli dhidi ya wapalestine ?Nimehuzunika jamaa alikuwa ana akili kubwa sana, Mungu ampumzishe pahali pema
Huna ujanja wa kumjua aliyemshambulia kihuni Tundu Lisu ila unawajua waliomuua huyo Mmarekani.Inside job.. huyu hakuuwawa na mtu wa kawaida... Mosad
Kamtukana mweusi gani ?
Mhusika ndo huyo sasa
Duh!Mpaka naandika ni observationa ya pattern. Hata jana umefanya hivihivi, na mara kadhaa nyuma.
Basi tufanye ni coincidence kwamba nikitajwa negatively ndio unaona, na ndio unakuwa na kicheko muda huo.
Kuna mbuzi humu zimefanya jf ni maisha halisiDuh!
Yani dume zima unatoa mapovu mdomoni kisa member (pengine humjui, hakujui) ame click 'like' button?
WRONGGGGG....He's smarter than you expect