TANZIA Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi

Huyu jamaa sijui kwa nini walichelewa kumuua​
Your browser is not able to display this video.


​
 
Tukubali au tukatae replacement inafanyika nchi ya magharibi
 
Reactions: Obe
Ni kama umeanza kumjua Charlie Kirk jana baada ya kusikia kifo chake
Huyo jamaa ni racist tangu mwanzo na ukileta mifano ya yeye kuwa racist basi ipo mingi mno. Lakini alikuwa tu anabishana na wanachuo kamwe hakuwahi kuwa hatari kwa taifa, meaning sio mtu ambate angefanya uhalifu. Nilikuwa napenda kuangalia mijadala yake, coz napenda kuona debate sasa walivyomuua maana yake nimekosa pa kuangalia debate
Watu walipaswa kumprove wrong kwenye debate. So wameshindwa kumdebate kwa hoja wameamua kumuua, very silly decision
 
Alichelewa kufa hata hivyo.
 
Mambo ya Vantage Point

Huu ulinzi anaopewa hata kiongozi wa nchi watu wakiamua kumchomoa ni dakika sifuri.
 
Ninkweli dunia inabadilika kufuata upepo wa siasa za mlengo wa kushoto ambapo kuna mahasi kibao, kwa hiyo unataka tuishi watu tuishi kwa kuwaogopa hao leftists tusiwarithishe watoto wetu misimamo ya kihafidhina au?
 
Ninkweli dunia inabadilika kufuata upepo wa siasa za mlengo wa kushoto ambapo kuna mahasi kibao, kwa hiyo unataka tuishi watu tuishi kwa kuwaogopa hao leftists tusiwarithishe watoto wetu misimamo ya kihafidhina au?
Tanzania hakuna leftists, progressive au democrats. CCM, CHADEMA, ACT, CHAUMMA na wengine wote conservatives
 
Reactions: Obe
Duh!! 90% ya comments za Americans zinaonyesha walikuwa na chuki nae kutokana na misimamo na maoni yake...
Sasa wewe hii akili yake ni ya wapi!?
Kijijini kwenu...?
Na wewe hizo comments 90% za wamarekani wanaomchikia Charlie umezipimaje? Umetumia metric device ya bibi yako au?

Yaan unasome comments za maliberals kwenye pages zao ambao inafahamika wazi kuwa wanamchukia Charilie na Trump kisha unahitimisha eti wanamchukia Charlie?
 
Tanzania hakuna leftists, progressive au democrats. CCM, CHADEMA, ACT, CHAUMMA na wengine wote conservatives
Sijajua ufahamu wako kuhusiano na uliberali ni kiasi gani, ila kwa maono ya haraka haraka tu watanzania wengi hususani waliosoma soma ukiwemo na wewe mna mentality fulani ya kileberal/ ya kishenzi..

Don't you all embrace social radical changes? Don't you embrace modernity?

Leftistism,liberalism,rightism ni ni kitu kimoja na inaanzia kwenye mindest ya mtu.
 
Reactions: Obe
Huyu jamaa sijui kwa nini walichelewa kumuua​
View attachment 3470092

​
Yupo sahihi ila. Kwa nini watu weusi wa Marekani wasijiimarishe wao wenyewe badala ya kulalamikia wazungu?. Marekani imefanya kila namna kuleta usawa kwenye nchi kati ya wazungu na watu weusi lakini bado Black Americans kazi yao ni kulalamika tu. Wao ndio hawajui kuchangamkia fursa. Mtu mweusi Marekani akiwa mchapakazi anaweza kufanya chochote kile ambacho mzungu anaweza kufanya
Wewe unaijua China vizuri. China ilitawaliwa na Japan lakini bado watu wake walipopata uhuru wakaanza kuijenga China yao wenyewe. Walijiimarisha mpaka leo China imekuwa taifa lenye nguvu sana duniani. Wasingefanikiwa hili kama wangekuwa na victim mentality ya Black Americans, hakika wachina wasingefanikiwa kama wangeendelea kulaumu Wajapani siku zote

Halafu sio kwamba Charlie Kirk alikuwa smart sana. Ni hao tu wanafunzi wa Marekani wengi wao hawajui kudebate vizuri hata kama wanachotetea ni sahihi. Lakini ukienda nchi ambayo wanafunzi wake ni magenius kama Uingereza majibu ni tofauti
Charlie Kirk aliwahi kwenda chuo cha Cambridge, Uingereza kudebate na wanafunzi na kule alikutana na vipanga balaa. Charlie Kirk aliaibika, kule alishindwa debate hadi na wasichana. Alikutana na both smart girls and smart boys, na walimshinda vizuri tu kwenye debate
Kwa hiyo kama mtu ana opinions tofauti na zako ulipaswa uhakikishe unaweza kutetea hoja zako mbele yake. Hao wanafunzi wa Kimarekani walitakiwa wamprove wrong Charlie kwenye debate kama wanafunzi wa Cambridge walivyofanya. Sio kumuua

Angalia mfano huyu smart student from Cambridge jinsi alivyomhandle Charlie vizuri kwenye debate, na hivi ndio inapendeza.
Your browser is not able to display this video.
 

HIi tweet inatembea sana, aliitoa baada ya kifo cha gadafi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…