Marekani: Ex wa Tiger Woods amdai Tsh. Bilioni 69.9 kwa kumfukuza nyumbani

Haka kambinu ka Tiger kakumtema mtu nimekapenda

Takatekeleza tu.
 
Kwa nyuzi Kama Hizi
Mnahatarisha ustawi wa ndoa za watu
Wakataa ndoa wanazidi kupata followers[emoji4]
 
Kwa sasa
Kua na mazoea na wanawake
Hasa mazingira ya nyumban kwako
Tena kimahusiano, Ni kujikaribishia umaskini
 
Anapoelekea watampoteza maana anataka kuwa kichomi sana kwa Tiger [emoji16][emoji16]
 
Kwa kweli... MARRIAGE AND RELATIONSHIPS ARE TRANSACTIONAL THESE DAYS.... so sad.

Mwenye tips za kuwa single muda wote ntakaoishi anisaidie tafadhali....
 
Wakati kwenye divorce settlement tiger alimlipa karibia $mln 100
Leo hii anakuja tena ,anataka zingine

Huko nako inabidi wakatae ndoa tu

Ova
Huyu ni girlfriend si yule mke wake
 
Japo kuna NDA ambayo alisha weka saini, Woods anataka enforce hiyo NDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…