Marekani: Ex wa Tiger Woods amdai Tsh. Bilioni 69.9 kwa kumfukuza nyumbani

ndio tunachukua maamuzi magumu sana maana kama vile wnataka kumfilisi mwamba kapambana na tenisi miaka na miaka kajiwekea akiba zake daah mi sikubali namroga kichaa kabisaa apotelee mashambani mbali sana
 
Kataa ndoa tuchukue points zetu
 
Wakati kwenye divorce settlement tiger alimlipa karibia $mln 100
Leo hii anakuja tena ,anataka zingine

Huko nako inabidi wakatae ndoa tu

Ova
Kuoa ulaya na america ni utumwa kwa mwanaume, ni mateso mateso mateso.
 
Zamani nilikuwa nikisikia huko ulaya(wazungu) wanafunga ndoa za mikataba nilkuwa naona kama niwashenzi kweli asee,lakini sasa ninaona walikuwa na ulazima wa kufanya hivo.Maana sasa hiyo ni mega disaster.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…