Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Marekani yaripoti kuwa howotzer za Ufaransa (French CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zinachomwa vibaya na kuangamizwa na MLRS (Artillery) za Urusi nchini Ukraine.
Katika kuthibitisha hilo Marekani imeambatanisha na video iliyorikodiwa na drone (video ipo hapo chini) wakati artillery ya kirusi ikiichabanga na kuichoma nyang'a nyang'a hiyo 'self propelled' howitzer ya Ufaransa ambazo tumekuwa tukipigiwa 'makelele' mno hapa JF na kuaminishwa ati ni bora zaidi kuliko zana za kirusi.
Ukraine pia imethibitisha tukio hilo.
========