Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Kosa lipo wap hapo?Marekani yaripoti kuwa howotzer za Ufaransa (French CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zinachomwa vibaya na kuangamizwa na MLRS (Artillery) za Urusi nchini Ukraine.
Katika kuthibitisha hilo Marekani imeambatanisha na video iliyorikodiwa na drone (video ipo hapo chini) wakati artillery ya kirusi ikiichabanga na kuichoma nyang'a nyang'a hiyo 'self propelled' howitzer ya Ufaransa ambazo tumekuwa tukipigiwa 'makelele' mno hapa JF na kuaminishwa ati ni bora zaidi kuliko zana za kirusi.
Ukraine pia imethibitisha tukio hilo.
========
View attachment 2322770
View attachment 2322771
Unateseka nini hapo?!Kosa lipo wap hapo?
Marekani anazisifia HIMARS tu ila silaha zinazopelekwa na wenzake anaziponda sana.
Habari sio ya kweli hiyo. Marekani habari zao haziwi kwenye vidomains vya uchochironi. Hiyo ni habari za kupika wanatengeneza Warusi.Marekani yaripoti kuwa howotzer za Ufaransa (French CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zinachomwa vibaya na kuangamizwa na MLRS (Artillery) za Urusi nchini Ukraine.
Katika kuthibitisha hilo Marekani imeambatanisha na video iliyorikodiwa na drone (video ipo hapo chini) wakati artillery ya kirusi ikiichabanga na kuichoma nyang'a nyang'a hiyo 'self propelled' howitzer ya Ufaransa ambazo tumekuwa tukipigiwa 'makelele' mno hapa JF na kuaminishwa ati ni bora zaidi kuliko zana za kirusi.
Ukraine pia imethibitisha tukio hilo.
========
View attachment 2322770
View attachment 2322771
Katafune malimaoFake news. Hizo habari za kutengenezwa Wewe unasema ni Marekani wamesema.
Hiyo habari ni fake
Na wewe Eti ni expert member wa JF. Duh! Wale ndugu zetu wa 2006 kweli lazima tusikitike sana.Katafune malimao
Acha kulialia wewee...Na wewe Eti ni expert member wa JF. Duh! Wale ndugu zetu wa 2006 kweli lazima tusikitike sana.
Yaani mnasambaza fake news tu. Labda Marekani ya Manzese ndio imesema hivyo.
BusinessMarekani anazisifia HIMARS tu ila silaha zinazopelekwa na wenzake anaziponda sana.
Kama hii ni ya kupika hebu leta ya kwako hata ya kukaanga tuujue ukweli.Habari sio ya kweli hiyo. Marekani habari zao haziwi kwenye vidomains vya uchochironi. Hiyo ni habari za kupika wanatengeneza Warusi.
Huyu jamaa ana roho mbaya sana yaani vya wenzake vibaya anatoa hadi video ila vya kwake anajikausha kama hayupo vileMarekani anazisifia HIMARS tu ila silaha zinazopelekwa na wenzake anaziponda sana.
sasa habari ya kweli ni ipiFake news. Hizo habari za kutengenezwa Wewe unasema ni Marekani wamesema.
Hiyo habari ni fake
Haya madude wanayapelekaga kufanya nini aisee🤣🤣🤣🤣Marekani yaripoti kuwa howotzer za Ufaransa (French CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zinachomwa vibaya na kuangamizwa na MLRS (Artillery) za Urusi nchini Ukraine.
Katika kuthibitisha hilo Marekani imeambatanisha na video iliyorikodiwa na drone (video ipo hapo chini) wakati artillery ya kirusi ikiichabanga na kuichoma nyang'a nyang'a hiyo 'self propelled' howitzer ya Ufaransa ambazo tumekuwa tukipigiwa 'makelele' mno hapa JF na kuaminishwa ati ni bora zaidi kuliko zana za kirusi.
Ukraine pia imethibitisha tukio hilo.
========
View attachment 2322770
View attachment 2322771
Aliyesema inapata shida ni nani na atupe progress ya upande wake, hatutaki kuuziwa maneno