Strong ladg
Senior Member
- Jul 15, 2021
- 170
- 445
Kama ulikuwa hujui, Serikali ya Marekani ilimuweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaidi kuanzia mwaka 1988 wakati hadi mwaka 2008. Vilevile chama cha ANC, kiliwekwa kwenye orodha ya makundi hatari zaidi ya ugaidi duniani.
Sasa jiulize je "gaidi ni nani"?
Source:
"Why Nelson Mandela Was on Terror Watch Lists Until 2008 | TIME" The U.S. Government Had Nelson Mandela on Terrorist Watch Lists Until 2008. Here’s Why
Sasa jiulize je "gaidi ni nani"?
Source:
"Why Nelson Mandela Was on Terror Watch Lists Until 2008 | TIME" The U.S. Government Had Nelson Mandela on Terrorist Watch Lists Until 2008. Here’s Why