Huyo Iran Hana uwezo wa kupambana na USA, Iran anaweza kuzuia airforce ya USA? Ni suala la muda tu atapigwa kwa sababu anaonyesha chuki zisizo na sababu kwa USA , Israel, ameshindwa kufanya mambo yake ya maendeleo kimya kimya, nchi kama Russia, China huwa hazichokozi USA na haziko tayali kuingia vita na USA , hatujaona Rusia analipua base za USA huko Syria Bali Rusia anamheshimu sana USA lakini Kila siku Iran anaitishia USA kuwa ataiangamiza, mara Nina missile za kuharibu miji ya USA, Iran ana chuki na taifa la Israel kuliko nchi yoyote ya kiarabu, kwa mazingira hayo lazima ashughulikiwe kabla hajaleta madhara