Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kwa hiyo warabu na Waislam wa Nchi ya Hijaaz , Nchi ya Mtume Muhammad (saw) inatumima kupigana na waislam wenzake?Amerika amepeleke Majeshi 10.000 nchini Saud Arabia . Je anajiandaa Kupigana vita nani? Iran Au Yemen Au Hezbollah? Ninajiuliza Swali mpaka sas sijapata jibu lake hebu nijibu hilo swali kama unaweza kulijibu.
View attachment 2812140
Sijui kwanini nawaonea huruma hao Wanajeshi.....kuna kazi vingine bwana.Amerika amepeleke Majeshi 10.000 nchini Saud Arabia . Je anajiandaa Kupigana vita nani? Iran Au Yemen Au Hezbollah? Ninajiuliza Swali mpaka sas sijapata jibu lake hebu nijibu hilo swali kama unaweza kulijibu.
View attachment 2812140
Huyo Iran Hana uwezo wa kupambana na USA, Iran anaweza kuzuia airforce ya USA? Ni suala la muda tu atapigwa kwa sababu anaonyesha chuki zisizo na sababu kwa USA , Israel, ameshindwa kufanya mambo yake ya maendeleo kimya kimya, nchi kama Russia, China huwa hazichokozi USA na haziko tayali kuingia vita na USA , hatujaona Rusia analipua base za USA huko Syria Bali Rusia anamheshimu sana USA lakini Kila siku Iran anaitishia USA kuwa ataiangamiza, mara Nina missile za kuharibu miji ya USA, Iran ana chuki na taifa la Israel kuliko nchi yoyote ya kiarabu, kwa mazingira hayo lazima ashughulikiwe kabla hajaleta madharaYa kwamba Iran ndo ya kupelekea wanajeshi 10,000?
Kafiri hana rafiki muislam. Ukijipendekeza kwake umekwishaHuyo Iran Hana uwezo wa kupambana na USA, Iran anaweza kuzuia airforce ya USA? Ni suala la muda tu atapigwa kwa sababu anaonyesha chuki zisizo na sababu kwa USA , Israel, ameshindwa kufanya mambo yake ya maendeleo kimya kimya, nchi kama Russia, China huwa hazichokozi USA na haziko tayali kuingia vita na USA , hatujaona Rusia analipua base za USA huko Syria Bali Rusia anamheshimu sana USA lakini Kila siku Iran anaitishia USA kuwa ataiangamiza, mara Nina missile za kuharibu miji ya USA, Iran ana chuki na taifa la Israel kuliko nchi yoyote ya kiarabu, kwa mazingira hayo lazima ashughulikiwe kabla hajaleta madhara
Hivi una akili kweli? ebu soma ulicho kiandika kwanza.Huyo Iran Hana uwezo wa kupambana na USA, Iran anaweza kuzuia airforce ya USA? Ni suala la muda tu atapigwa kwa sababu anaonyesha chuki zisizo na sababu kwa USA , Israel, ameshindwa kufanya mambo yake ya maendeleo kimya kimya, nchi kama Russia, China huwa hazichokozi USA na haziko tayali kuingia vita na USA , hatujaona Rusia analipua base za USA huko Syria Bali Rusia anamheshimu sana USA lakini Kila siku Iran anaitishia USA kuwa ataiangamiza, mara Nina missile za kuharibu miji ya USA, Iran ana chuki na taifa la Israel kuliko nchi yoyote ya kiarabu, kwa mazingira hayo lazima ashughulikiwe kabla hajaleta madhara
binti vipi kwema?Kafiri hana rafiki muislam. Ukijipendekeza kwake umekwisha
Binti itikia salamuDutch former anti-Muslim politician converts to Islam