ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Li Nchi la hovyo sana lile na ujamaa wake wa.kienyeji..Ukienda kusoma Urusi ukirudi Kwisha habari yako mlevi Chakari unakuwa huna msaada tena kwa nchi na familia
Russia ni mabahili saanaa, hakuna kitu chochote wanasaidiaBeberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya..
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa John Hoopkings na Melinda $
My Take..
Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze..
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote..
Wisk alcoholUkienda kusoma Urusi ukirudi Kwisha habari yako mlevi Chakari unakuwa huna msaada tena kwa nchi na familia
Tukuulize wewe si ndio unajua alichochukua utuambie..Ametoa hiyo hela jiulize amechukua kiasi gani
Kwasababu USA ndie anaetengeneza hayo magonjwa anasambaza, anakupa mkopo wa chanjo,madawa na tiba, nchi yako inadaiwa 90+Trilion za kitanzania kwa mikopo halali na isiyo halali ya beberu mmoja Mubadi sana..USA..Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya..
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa John Hoopkings na Melinda $
My Take..
Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze..
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote..
Kwa nini huyo Russia asikusaidie dawa si ni rafiki Yako?Kwasababu USA ndie anaetengeneza hayo magonjwa anasambaza, anakupa mkopo wa chanjo,madawa na tiba, nchi yako inadaiwa 90+Trilion za kitanzania kwa mikopo halali na isiyo halali ya beberu mmoja Mubadi sana..USA..
Nyingi zimeenda NGOs na Tume ya Ukimwi.katika hizo Trilioni 15 zilizofanya kazi inayotakiwa hata Trilioni 1.5 hazifiki..US na kwenyewe kuna upigwaji wa hali ya juu. Bureaucrats wanaomiliki ma NGO wanajilipa maela makubwa wananunua madefender ya kuzurura kusimamia miradi nk..
Magari mengi na mabomu yametoka urusi. Ndege nyingi za kijeshi ni zawarusi.Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya..
Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates Foundation kwenye Kifua Kikuu,Malaria nk.
My Take..
Sielewi Mnaoshobokea Russia Huwa mnafanya hivyo Kwa Maslahi yapi hasa?
Anaejua kiasi ambacho Russia amewahi toa Kwa Tanzania of any kind anijuze..
Nawashukuru sana beberu USA na nitasimama na Marekani mda wote na wakati wote.
Mungu ibariki Tanzania na Wabariki Mabeberu America.
Hawawezi elewa ana chembe za childhood,ama za ukike kupenda slopeKwani ni lazima kusaidiwa? Misaada kitu mbaya
Ulipewa Msaada au ulinunua vitu substandard kama Uganda ?Magari mengi na mabomu yametoka urusi. Ndege nyingi za kijeshi ni zawarusi.
Sio tuu ARVs hata Bajeti yetu Kwa sehemu kubwa wao ndio wafadhili wakubwaKuna siku nilisema siku waTanzania tutawajua waMarekani ni siku wakiamua leo ndo mwisho wa kufadhili ARV. Wengi hawajawahi kuona ukimwi wa 2005 kurudi nyuma. Huwa mpaka leo namuomba Mungu anipitishe mbali na huo ugonjwa. Nitaomba Mungu anipe mke mwaminifu maana kubaki mifupa ni shida. Na madhaifu yao ila Mungu wabariki waMarekani. Wameondoa aibu ya unyanyapaa mitaani.