#COVID19 Marekani inatarajia kutoa 'booster vaccine' kwa watu wote waliopata chanjo

Chanjo inayopoteza ufanisi baada ya miezi 6 haifai
 
Swali moja tu, kinga inaathirika baada ya kuchanjwa? Na ikiwa mtu amechanjwa asipate hiyo booster, kuna madhara gani kwenye kinga yake?
booster inafanya kazi kama Alkasusu vile,inaongeza uwezo wa kinga ya mwili maana ile ya awali inadumu miezi sita tu mwilini.
 
Ikija Lambda variant bila shaka watu watabidi wakachanjwe tena ,tutachanjwa chale nyingi sana kama wamakonde vile .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna kirusi kipya kinaitwa Lambda kimeshafika California, hakisikii chanjo wala dawa.
 
Ikija Lambda variant bila shaka watu watabidi wakachanjwe tena ,tutachanjwa chale nyingi sana kama wamakonde vile .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lambda ilikua Peru, sasa iko Marekani na inasambaa kwa kasi kubwa. Kumbuka hii haisikii chanjo wala dawa, hivyo itabidi ije chanjo nyingine ya Lambda.
 
Ni kama computer, usipo update window ama app, virus mpya akija ni rahisi kuua computer yako.

So booster ni updation ya old software ya covid.

Hivyo ni kusema booster sio maalum kwa ambao hawaja chanjwa, inawahusu wale waliochanjwa pekee?
 
Naomba Mungu aturehemu na kutuondolea huu ugonjwa wa Corona Duniani
 
Chanjo sio tiba ni booster ya Kinga sasa kama haikukidhi matarajio bila shaka lazima booster.

Vipi Kuhusu Ulaya maana viwanja vya mipira vinajaa Nako vifo vimeongezeka au
 
Tabu kubwa , hii habari hata kama siyo kweli inaleta hofu kwa waliochanjwa.
Tunasoma mengi mitandaoni but kitu muhimu ni kujua wataalamu wabobezi wanasemaje? Mpaka sasa wataalamu wabobezi duniani wametuhakikishia kwamba : Ukipata chanjo chance ya wewe kupata Corona ni ndogo, pili hata kama ikitokea umepata Corona chance kwamba Corona itakuwa kali na kukuuwa ni ndogo sana, hayo mengine yootee ni porojo tuu.
 
Chanjo ni nzuri lakini hii ya sasa ina changamoto nyingi. Kama unaweza, subiri version mpya ya chanjo maana kwa sasa uchanhe usichanje corona ikija bado inaweza kutembea na wewe, so better wait the best version.
Uwongo mtupu, ukichanjwa na ikatokea umepata corona inakuwa mild au hutapata Corona kali inayoweza kusababisha damu kuganda na kifo...
 
This is inevitable at least for now as the virus keeps on mutating with resultant deadly versions.
 
Kama Gwajima alivyosema, leo kinabadilika kinakuwa hivi, kesho vile, kesho kutwa vile, na akasema mnayochanjwa ni ya kirusi cha kwanza, kikija cha pile, na cha tatu, na cha nne, na cha tano, akasema mtanjwa hadi mkome!
Wakajitoa ufahamu na kumtukana,ngoja tuone mwisho wake
 
Endeleeni kujazana ujinga!! Askofu Rasheed anadai chanjo ina madhara; je hiyo habari inaonesha kwamba chanjo ina madhara au mmeishia kusoma heading tu?
Uzuri GwaJima tunamsikiliza,hajasema INA madhara,alisema mfano ,kama ina madhara unapochanja jeshi lote na watu wa afya wote unategemea nn?in case kuna madhara km nchi tutakuwa tuna hali gani kuwa na jeshi lenye shida at the same time wauguzi,drs nao wana shida?

Akashauri hata kwa wao iwe hiari!
Mnapenda sana habari za kusikia vipandevipande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…